Msichana anapo sena anapo kwambia anaona aibu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
10,217
2,000
Naomba mnisaidie
nina msichana ni rafiki yangu sana, haipiti siku hatuja wasiliana. Lakini hatuja wahi zungumzia ndoa wala any deep relationship. Lakini kinacho nishangaza kuna wakati nikimwuliza kitu aniambia anaona aibu kuniambia.

Siku moja nilimwuliza unasuka msuko gani wa nywele, akanimabia anaona aibu, hata akashindwa kuniambia, siku nyingine akanipa picha, nilipo mwambia nimeziona akasema anaona aibu,

hii kuona aibu inamaana gani hasa. Naombeni msaada
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,035
1,500
huelewi kuona aibu ni aje? Ama huelewi kwa nini anakuonea aibu?

Kwenye baoloji hamkufunzwa msichana akipevuka na matiti yake kuanza kusonta zipu za suruwali za wanamme huona aibu?
 
KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,557
2,000
muite geto mjifunike shuka, we hukucheza ile michezo ya kibaba na kimama? ni pm namba zake nikusaidie kama ulimi umejaa mate
 
dada white

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
1,229
0
Kaka huyo labda ni Zezeta nitajie umri wake,na je hatoi udenda na kusema anaona aibu?
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,509
2,000
dah!! huyo atakuwa mtamu sana kumgegeda maana aibu hadi kuvua chupi umvue...fanya juu chini umgegede huyo mwana
 
KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,594
2,000
Naomba mnisaidie
nina msichana ni rafiki yangu sana, haipiti siku hatuja wasiliana. Lakini hatuja wahi zungumzia ndoa wala any deep relationship. Lakini kinacho nishangaza kuna wakati nikimwuliza kitu aniambia anaona aibu kuniambia.

Siku moja nilimwuliza unasuka msuko gani wa nywele, akanimabia anaona aibu, hata akashindwa kuniambia, siku nyingine akanipa picha, nilipo mwambia nimeziona akasema anaona aibu,

hii kuona aibu inamaana gani hasa. Naombeni msaada
Nenda nae taratbu, mgeni wa mapenzi huyo.

Mfundishe slowly slowly. Atakuwa slow learner huyo.
 
BHULULU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
4,903
2,000
Umenichekesha sana BHULULU, suppose ungeipata hii bahati ungemfanyaje huyu bi dada anaeona aibu?
Yani kwenye miti hakuna wajenzi kabisa,yani mimi siku ya kwanza angeniambia kuhusu aibu zake, siku hiyo hiyo angepata somo la kuondoa aibu,ukifuatilia maelezo ya mleta mada yanasikitisha sana.Kuna sehemu anasema alipewa mpaka picha na maneno "naona aibu",huoni jamaa anachezea bahati?Basi tu ngoja nilale.
 
KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,594
2,000
Yani kwenye miti hakuna wajenzi kabisa,yani mimi siku ya kwanza angeniambia kuhusu aibu zake, siku hiyo hiyo angepata somo la kuondoa aibu,ukifuatilia maelezo ya mleta mada yanasikitisha sana.Kuna sehemu anasema alipewa mpaka picha na maneno "naona aibu",huoni jamaa anachezea bahati?Basi tu ngoja nilale.
Ha ha ha lala tu MKUU. Unaweza amka kesho na bahati hiyo, lalia ubavu wa kulia lol.
 
Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,451
1,170
Mhu, mada yenyewe ni aibu, sasa utakosaje aibu? Basi mwambie na mimi naona aibu kila siku kukutana na aibu.....
 
Kiteitei

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
1,462
2,000
Naomba mnisaidie
nina msichana ni rafiki yangu sana, haipiti siku hatuja wasiliana. Lakini hatuja wahi zungumzia ndoa wala any deep relationship. Lakini kinacho nishangaza kuna wakati nikimwuliza kitu aniambia anaona aibu kuniambia.

Siku moja nilimwuliza unasuka msuko gani wa nywele, akanimabia anaona aibu, hata akashindwa kuniambia, siku nyingine akanipa picha, nilipo mwambia nimeziona akasema anaona aibu,

hii kuona aibu inamaana gani hasa. Naombeni msaada
Wee naweee,mwenyewe aibu zimekujaa! Unaanzia mbali mno kaka...oooh nywele mara nipe picha!kwani wewe msusi?hebu tiririka acha kupita njia ndefu,utaishia kula kwa macho kwa mtaji huu
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
4,744
2,000
Hii title ya thread ulitaka kuandika kitu gani? Najua umeikosea kwasababu unaona aibu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom