Msichana anaefanya kazi mortuary yuko kwenye kipindi TBC1 muda huu

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
5,159
6,320
1463770463035.jpg

Msichana Sabrina anaefanya kazi mortuary yuko kwenye kipindi cha Mboni show Muda huu TBC 1. Binti ni jasiri kweli.
 
Wanaofanya kazi huko inabidi walipwe mishahara mikubwa sana, maana majaribu ya kufanya kazi huko ni makubwa sana. Uraiani wakifahamu wapi unafanya kazi wanaweza kukuogopa.
 
Hivi ni ajabu sana mwanamke kufanya kaz mortuary?? Wala hainishangazi... Kwanza maiti haing'ati afu tusisahau kuna wanawake wanaosomea udaktari wanacheza sana na maiti Lab wakizifanyia mazoezi ya upasuaji
 
Mh!
 
Ana roho ngumu mana Anko wangu alikimbia hi kazi alisema alichoka kupishana na maiti zisizo na vichwa na nk...
 
Back
Top Bottom