Msichana akitongoza mvulana kwani kuna ubaya gani ?

Heshma inashuka. Mmh!

hakuna heshima wala uoga mbele ya kupenda! tatizo mkuu ni kuwa wasichana huwa hawajui kutongoza(hawasemi wazi) wanakufanyia vituko mpaka basi hasa ukikuta ndo anaanza basi ukiwa na roho nyepesi unaweza hata kukachunia milele.mie niliwahi kufanyiwa vituko na kabinti fulani mpaka nikahisi kero.mambo yalipokuwa magumu nikauliza jamaa nini kinaendelea wakaniambia kwamba kabinti kananizimikia.nikashangaa sana maana hata mimi niliwahi kuhisi hivyo lakini kutokana na jinsi navyokazidi nikaona itakuwa so na hata hivyo nilishajaribu kianaa kakaruka mita mia tano.siku ya siku kwa ushauri nasha niliopewa nikaamua nikatight kwenye 12.baada ya penati nikakuliza vp kalikuwa kananifanyia vituko vyote vile mpaka vya kuudhi namna ile?majab ya kawa kwanza alikuwa anashindwa kunianza na kuwa alitaka ajue kuwa na mimi nampenda ama la.
 
mmmh! Huyo alizidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom