MSIBANI kwa MABINA

Status
Not open for further replies.

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
Kumekuwa na uitikio mdogo wa wananchi hasa baada ya kuwepo na uoga kufuatia kukamatwa kwa baadhi ya watu wengi wanaokisiwa kufikia 30 mpaka sasa. Nipo eneo la tukio kumuaga marehemu. Wamehudhuria viongozi wa kisiasa na kiserikali. Yupo waziri magufuli, rpc,rc. Wakuu wa wilaya na wengine mbalimbali
 
Hivi aliyeuwawa na marehemu Mabina mbona haoungelewi kabisa ana title gani huyo mtu? Nadhani marehemu Mabina ana kesi ya kujibu pia.
 
nitaishangaa dini ya kikristo kama na wachungaji/maaskofu wataenda hapo kisa wanakuja viongozi
 
1387443177418.jpg 1387443177418.jpg
 
M/kiti ccm mkoa shy bwana mgeja,waziri wasira, mkiti ccm mwanza anton dialo hajahudhuria wala mwakilishi wake. Labda amebanana na majukumu heshima kwake msiba watoto aliyeuwawa mabina alikuwepo
 
wanatamani Hapa ni kwenye kile kiwanja? na je viongozi wadini wapo maeneo hayo?
 
Last edited by a moderator:
star tv wanatakiwa wawepo hapo ili kutupa mkanda vizuri tulioko nje ya MWANZA
 
mi hapa mgeni huyu ni nani na aliwaua watu gani na kwa sababu gani! hebu nivusheni barabara
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom