Msiba wa sharo: Wema afunika mastaa wenzake

huna hata haya...
We kila siku ukiona habari ya Wema lazima ukurupuke na kashfa.
Yatakushinda

sasa kama mwenzio anamkashifu wema,wewe unamsifia..kuna tatizo labda!!?uhuru wa maoni mburula usi panic.
 
Dah post nyingine utumbo mtupu hv rambirambi si inategemea na uwezo na matakwa ya mtu sasa iweje aliyetoa nyingi ndo aonekane kawatia aibu wenzake???? Promo zina mahali pake mkuu jaribu kuchek na shigongo huku ulikotokea siko kilaza mkubwa......!!!
 
Tshs. 200,000/= Mnaanzishia thread kweli bongo kukavu sana yaani nilidhani katoa M kadhaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom