Msiba wa sharo: Wema afunika mastaa wenzake

Hongera mdada kwan binadam tumeumbiwa matatizo. n kutoa pesa na kujitolea mchango wowote n suala la busara sana haijal utak kuonekana au vip cha msing ni kutoa ulichonacho. Hongera mdada.
 
acha ujinga kijana huyo wema nani yako?na ulimpimaje kujua kama ye ndo ana uchungu wa dhati kwani we mamake,acha kumpeperusha nduguyo, oooooh!!! nazingua bro.
 
Mambo ya kutoa rambirambi na kujitangaza yametokea wapi, utu uko wapi jamani? TUSISIFIE UJINGA JAMANI KHAA

wa kulaumiwa si Wema, japo namchukia.
Hapo wakulaumiwa ni huyo ndugu aliyekurupuka na kwenda kutoa siri za kwenye kitabu cha rambirambi kisha mwenyewe anajistukia kwa upuuzi alioufanya na kusema ati ye si msemaji wa Familia.

Sasa kama ye si msemaji kimempwita kinini mpaka aeleze hayo ya Wema kutoa jiwe mbili?

Shame...
 
Mambo ya kutoa rambirambi na kujitangaza yametokea wapi, utu uko wapi jamani? TUSISIFIE UJINGA JAMANI KHAA

Hasa Aliyejitangaza nani? Umesoma vzr iyo taarifa? Wema ye Katoa miti miwili yake basi,Sasa huyo ndg wa marehemu aliyethibitisha ndo Mkamuulize Ye aliulizwa na nani then akathibitisha? Ule mpunga umesaidia familia acheni wivu
 
Hongera WEMA. Hivi ni kwa nini hata kwa hili jema hamtoi pongezi? Tumeshazoea kusoma skendo za WEMA na ina maana tunapendelea kusikia Skendo tu!!!?? Akifanya jema tumpongeze pia!!

Kiukweli mi mwenyewe Nashangaa!! Mtu kajitolea na Hajatanzangaza yeye km katoa kiasi gani..... Hizi chuki nyingine hazina maana.
 
THE BIG SHOW;ni pm nikupatie

ila uniambie una sh ngapi??
Ahaaaa THE BIG SHOW kumbe wewe ni muuza watu a.k.a dalali human traffic ni kosa la jinai mkuu ngoja ni ku PM:target:
 
Last edited by a moderator:
wa kulaumiwa si Wema, japo namchukia.
Hapo wakulaumiwa ni huyo ndugu aliyekurupuka na kwenda kutoa siri za kwenye kitabu cha rambirambi kisha mwenyewe anajistukia kwa upuuzi alioufanya na kusema ati ye si msemaji wa Familia.

Sasa kama ye si msemaji kimempwita kinini mpaka aeleze hayo ya Wema kutoa jiwe mbili?

Shame...

Kwa nini msibani tunapotoa hela tuanaandika majina? Ni kwa sababu kama hizi za kusifiana kwa aliyetoa kingi na kumwona aliyetoa kidogo ni mchoyo, hana maana. Kama vipi ingekuwa kimya kimya.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom