Msiba Wa Ruge Vs Kanumba

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
218
318
Sote tumeshuhudia namna msiba wa Ruge na sarakasi zake unavyo endelea. Binafsi naiona nguvu ya Media katika shughuli za msiba huu. Kumekuwa na hamasa kubwa ya watu juu ya msiba huu, hii naamini ni kutkana na msiba huu kufanya habari ya taifa kwa takriban wiki moja mpaka sasa. Kila kukicha kumekuwa na muitikio wa watu kutaka kujua kinacho jiri juu ya msiba huu. Kiukweli ukitazama yanayo jiri utaona namna Ruge (R.I.P) alivyokua anagusa maisha ya wengi na hakupenda kujionesha, hivyo Ruge amekua Star baada ya kufa.
Katima moja ya matangazo nimekuwa nikisikia wakisema na kufanananisha msiba huu kama wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Msiba wa Baba wa taifa ndio Msiba uliopata Kuwa mkubwa na wa Taifa letu. Kila msiba unao onekana kugusa jamii kubwa basi hulunganishwa na msiba wa Baba wa taifa.
Katika miaka ya hivi karibuni tunaweza kusema kumekuwa na misiba ya namna hii, miwili. Pamoja na huu wa Ruge, msiba mwingine ni wa Steven Kanumba.
Wakati wa Kifo cha Kanumba mwaka 2012 hakukua na jamii kubwa inayo tumia mitandao ya kijamii na simu janja kama sasa, pia Kanumba hakuwa na redio maalum ya kuubeba msiba wake. Asubuhi ya Tangazo la kifo Cha Kanumba kulishuhudiya mgagasiko wa mioyo ya watu wanaume kwa wanawake na kila rika, vilio na simanzi vilitawala kila kona ya nchi. Kanumba hakupokewa Airt port, Kanumba hakusafirishwa nje ya Dar.
Watu walipoteza fahamu kila kona ya nchi.Filamu za msiba Ts hirt, Kalenda na Majarida viliuzwa kama njugu.
Afrika Mashatiki , Kusini na Kati kote waliomboleza kifo cha Kanumba.
Huko Congo DR, Kanumba alijulikana kama Hans, kutokana na jina alilo tumia katika filamu flani, Dangerous Desire kama sijakosea. Mtu mmoja ananisimulia jinsi watu walivyo kuwa wana weka turubai majumbani mwao na kuita watu kukaa matanga ya Msiba wa Kanumba, watu walifanya maombi maalum ya Kumuombea. Naamini hayo yalifanya na nchi nyinginen pia ambao sio watanzania.
Kwa taswira ya Misiba hii, Je, ni kweli Msiba wa Ruge ni zaidi ya msiba wa Kanumba? Je ni Msiba upi unao fananishwa na Msiba wa Baba wa taifa?
 
Msiba ni msiba tu, Hakuna mkubwa wala mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweri lakini wenye musiba wameupa promo ili uonekane mkubwa,hasa kupitia media aliokuwa boss wake,msiba Wa kanumba haukuwa na promo kivile kwa kuwa kanumba hakuwa na radio wala TV,musiba wa kanumba utabaki kuwa mkubwa kwani aligusa maisha ya wengi,watoto,vijana,wazee,,wamama,nawababa hata wasiopeda bongo movie kanumba alijulikana Africa zaidi ya ruge ambae zaidi anajulikana bongo hata ukienda Kenya Uganda Rwanda n.k ukiwaambia ruge kafa,wanakuuliza ruge ndio nini, ukiondoa musiba Wa baba Wa taifa ,kanumba ndio anafata muulize afande kova ndio utajua kanumba alikuwa the great kweri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clouds media ina nguvu kubwa sana.
Msiba wa kanumba nilipata nafasi ya kutazama, nchi ilisimama sio kwa
kuhamasishwa kwa media bali kwa uchungu. Watu walikuwa na uchungu sana.
Vivyo hivyo baba wa taifa pia, watu walikuwa na uchungu na wengine waliona ndio mwisho wa Tanzania, hakukuwa na uhamasishwaji wowote.

Naamini kila msiba ni mkubwa sana kwa ndugu wa marehemu na wale wanufaika wa moja kwa moja wa maisha ya marehemu. Hakuna msiba mdogo kwa mfiwa.
 
Umesema kweri lakini wenye musiba wameupa promo ili uonekane mkubwa,hasa kupitia media aliokuwa boss wake,msiba Wa kanumba haukuwa na promo kivile kwa kuwa kanumba hakuwa na radio wala TV,musiba wa kanumba utabaki kuwa mkubwa kwani aligusa maisha ya wengi,watoto,vijana,wazee,,wamama,nawababa hata wasiopeda bongo movie kanumba alijulikana Africa zaidi ya ruge ambae zaidi anajulikana bongo hata ukienda Kenya Uganda Rwanda n.k ukiwaambia ruge kafa,wanakuuliza ruge ndio nini, ukiondoa musiba Wa baba Wa taifa ,kanumba ndio anafata muulize afande kova ndio utajua kanumba alikuwa the great kweri

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema msiba wa Marehemu Kanumba "haukuwa na promo kivile" lakini umesahau dunia ilipata habari kuhusu msiba huo kupitia vyombo vya habari kama magazeti, redio(ikiwemo clouds ambayo ilibadilisha utaratibu wa kawaida wa vipindi vyake) televisheni mbalimbali na mitandao ya kijamii haswa Facebook.

Mwaka 2012 hatukuwa nyuma sana kwenye mitandao kama unavyojaribu kutuhakikishia ingawa kwasasa mitandao imekuwa na watumiaji wengi kulinganisha na miaka hiyo. Ninachojaribu kusema ni kwamba hakuna promo ktk msiba, waandishi wanaripoti jambo kulingana na namna muhusika alivyogusa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiba wa Ruge kama ni mapishi ya samaki tunasema umeunga nazi, mafuta, karanga, hoho, karoti na biringanya.

Unavyokula lazima ujirambe
 
Umesema kweri lakini wenye musiba wameupa promo ili uonekane mkubwa,hasa kupitia media aliokuwa boss wake,msiba Wa kanumba haukuwa na promo kivile kwa kuwa kanumba hakuwa na radio wala TV,musiba wa kanumba utabaki kuwa mkubwa kwani aligusa maisha ya wengi,watoto,vijana,wazee,,wamama,nawababa hata wasiopeda bongo movie kanumba alijulikana Africa zaidi ya ruge ambae zaidi anajulikana bongo hata ukienda Kenya Uganda Rwanda n.k ukiwaambia ruge kafa,wanakuuliza ruge ndio nini, ukiondoa musiba Wa baba Wa taifa ,kanumba ndio anafata muulize afande kova ndio utajua kanumba alikuwa the great kweri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni musiba au msiba?
 
Back
Top Bottom