Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Kama ni Chadema na mlikuwa mnajua, kwa nini wasikamatwe wakafunguliwa kesi kwa jinsi wanavyopenda kufungulia kesi viongozi wa upinzani?

Magufuli alikuwa ndio muuaji, kaua watu wengi sana, watu wengi walisali sana huyu mtu afe ili nchi ipone na Mungu kajibu maombi yao
Sawa mlikuwa mnaomba afe na sasa amekufa na bado mtabaki pale pale mlipokuwa wiki tatu zilizopita na mtaishi milele kusubiri kutawala Tanzania mkauze rasilimali zetu kwa hao ma-gay wenu,,, Siku Lissu akiwa raisi wa Tanzania nitatembea UCHI toka Ferry hadi kariako in fact the twat will die without becoming even a minister,,,
 
Mkuu naona sahvi mama samia inabidi awatumie members humu wamuundie serikali au ikiwezekana awachie members wa jf waongoze nchi ktk nyanja zote nchi itapaaa,members humu wanaonekana hawakosei wake sawa ktk kila jambo
mama D

Ova
Watu wanasumbuka bure, nafasi zote zina watu wanasubiri kuapa tuu
Subiri Mwamba apumzishwe watu ndio watajua
 
Sawa mlikuwa mnaomba afe na sasa amekufa na bado mtabaki pale pale mlipokuwa wiki tatu zilizopita na mtaishi milele kusubiri kutawala Tanzania mkauze rasilimali zetu kwa hao ma-gay wenu,,, Siku Lissu akiwa raisi wa Tanzania nitatembea UCHI toka Ferry hadi kariako in fact the twat will die without becoming even a minister,,,
Kwani ukitembea uchi wewe nani anajali?
Wewe ni sawa na punje moja tu ya karanga kwenye tani 100 za karanga
 
Endelea kuwa mfuasi wa huyo muongo anayetaka kuuza nchi ila mjue Tanzania haitakuja kuuzwa na hasa baada ya Magu kuwafungua watanzania,, muongo Lissu ati Magu kaenda kutibiwa KENYA mfyuuu si bora afie Nanyumbu kuliko kwenda kutibiwa Kenya ati vyanzo vyake vya USA na South Africa wakati Magu yuko Mzena poleni sana
 
Pole wewe maana sasa hivi huna uhakika wa kupata mlo wako wa siku na mama aliyeingia kamwe hataki watu wa kuuza maneno.

Rudi kwenu Burundi maana sasa hivi Tanzania ni amani na utulivu,mmeshindwa kutuvuruga na kutuvunjia amani.

Yupo mama wa kazi.
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufahamu kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakuwa wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Ujinga huu uliwahi kuwaambia waliowatuma wasiojulikana?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mfiwa huna utulivu kabisa

Ndio unipe faraja na kuniombea utulivu MADAM T

Msiba mkubwa sana huu💔💔💔 utulivu unatoka wapi bila kunifariji😎😎😎

Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli 💔🇹🇿💔
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufahamu kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakuwa wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Lakini pia umesaidia kuprove namna mwenda kwao alivyoharibu akili za watanzania
 
Sawa mlikuwa mnaomba afe na sasa amekufa na bado mtabaki pale pale mlipokuwa wiki tatu zilizopita na mtaishi milele kusubiri kutawala Tanzania mkauze rasilimali zetu kwa hao ma-gay wenu,,, Siku Lissu akiwa raisi wa Tanzania nitatembea UCHI toka Ferry hadi kariako in fact the twat will die without becoming even a minister,,,
mimi sio mfuasi wa Lissu au Chadema, mimi mtu huru sio msukule wa mtu, nyie misukule mnaoabudu maiti zinazozungushwa barabarani msidhani kila mtu ni msukule kama nyie
Huyo Lissu awe rais ama asiwe rais sio shida kwangu, Magufuli kufa ndio kitu muhimu na hakuna kiongozi wa hovyo kama yeye atawahi kutokea tena Tanzania, hata CCM hawataruhusu
 
Back
Top Bottom