Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Nilimeshawishika kufungua hii thread ingawa ni habari ya mwaka jana mwishoni.
Niliwaahidi watu kuwa nitakuja kuandika hii habari ingawa nimesita kwa siku nyingi. Nimepata nguvu baada ya kuona habari ya Aspirin.
Napenda na mie niwajulishe sasa kifo cha Mwana JF mwenzetu mwenye jina la JAFAR.
Mwana JF huyu alikuwa ni Member maarufu wa JF na pia Mwana Chadema kwa Itikadi.
Hii habari niliiandika kwa kuweka jina lake hasa na waliokuwa wakimfahamu kwa jila lake, waliona.
Kama Member wa JF, basi wengi mtamkumbuka kama JAFAR ingawa mie atabaki kwa jina lake hasa.
Aliuguwa ghafla ugonjwa wa moyo na akafiriki. Mazishi wakafanyia nyumbani kwao, Mbeya.
Maadamu tupo katika maombolezo, basi tuombeleze kila kitu na KESHO iwe siku mpya.
Mungu ampe mapumziko mema huko alikotangulia.
JAFAR: Join Date: 3rd November 2006 . Last Activity: 19th November 2010 08:54
<= AVATAR yake
Ujumbe wake wa mwisho hapa JF ni huu hapa chini:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...ml#post1280839
Hili limekuja baada ya kusoma wazo la Miss Judith kuwa member waliotutoka basi wawe wanawekewa alama maalumu.
Ukitaka maelezo zaidi basi soma hapa: https://www.jamiiforums.com/complai...ba-wa-mwana-jf-mwongozo-wa-avatar-please.html