Msiba wa Dr. Justine Katunzi: Chuo Kikuu Cha Dar e salaam: Former Faculty of Commerce now UDBS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba wa Dr. Justine Katunzi: Chuo Kikuu Cha Dar e salaam: Former Faculty of Commerce now UDBS

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Benno, Apr 1, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa Ndugu jamaa na wanafunzi wote walipowahi kufundishwa na Dr. Katunzi, Mwalimu maarufu kwa somo la Organisation Behaviour- OB


  Tunasikitika kuwajulisha msiba wa Dr. Katunzi uliotokea jana jioni wakati akiwa
  darasani anafundisha.
  Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Kimara Stopover karibu na kwa
  Kapinga.
  Ndugu wanategemea kusafirisha mwili wa marehemu kwa mazishi huko Geita, Busanda
  kesho Jumamosi tarehe 2/4/2011.

  Taarifa zaidi zitapatikana ikiwemo, muda na saa ya kuaga mwili wa marehemu tayari kwa kusafirisha hapo kesho

  Benno, Mwanafunzi
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuaga mwili ni saa ngapi? Nilipenda ucheshi wake. Mungu ailaze roho yake mahali pema.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Rip dk
  hope ukuwabania watu degree zao maana pale loh!!kama ujapasuliwa kati na mola shida tupu..na wengine zetu mpaka 75 ujaribu kuomba tena uje na cv ndfuuuu
   
 4. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  R.i.p. Dr. Katunzi
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  nimekusa Benno
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  RIP Dr. K.
   
Loading...