Msiba mkubwa ziwa Victoria..wanafunzi 18 wafa maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba mkubwa ziwa Victoria..wanafunzi 18 wafa maji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GM7, Aug 5, 2010.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Source: Lukwangule.blogspot
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mwenyezi Mungu Aweke Pahali Pema Roho Za Walio Angamia. Amina.

  Inasikitisha sana kwa kweli.
  Wanafunzi 18 kwenye mtumbwi??! Ni mitumbwi ya aina gani hiii kwenye ziwa Victoria inaruhusiwa kubeba watu 18 jamani??
   
 3. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,955
  Likes Received: 21,106
  Trophy Points: 280
  jamani hizi ajali zimezidi.....huu mtumbwi umeua wanafunzi 18,juzijuzi basi limeua 16,kuna mtumbwi mwingine mto rufiji uliua wanafunzi 11 hivi,na ile hiace ilipondwa na tanker iliua zaidi ya 10......hizo ni ajali chache tu ninazokumbuka/nilizosikia.....hivi hii serikali inathamini kweli nguvukazi na maisha yanayopotea kizembe namna hii???
   
 4. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Poleni wafiwa wote popote mlipo.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Innalillah wa-inna ilaihi raji'un

  Verily to Allah we belong & to him we shall return

  Surely Allah takes what is His, and what He gives is His,
  and to all things has appointed a time...

  May Allah have mercy on them and grant their family much patience...

  Ameen
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ni mtumbwi ya mbao kawaida labda una urefu wa futi kama kumi na kimo kama fut 4 au 5.Kuna mitumbwi inabeba hata watu 30. Usishangae ziwa kuna visiwa vidogo ndani ya ziwa victoroa mu wanafunzi wakitaka kwenda shule inabidi watumie mitumbwi kwenda visiwa vingine.

  Kuna visiwa niliwai Kwenda miaka ya nyuma ziwa victoria kuna jamaaa kwa jina la KITANA huyo ndo rais wa hivyo visiwa. watu walikuwa hawajui cha RAIS wala RC wala RPC.

  Tuamini Tusiamini jamnani tanzania ni kubwa sana kuwa managable kwa viongozi tulionao

  Kipindi hiki cha miezi ya sita saba na nane huwa kuna upepo mbaya sana ziwani.

  Roho za marehemu zipumzike kwa amani.
   
 7. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 771
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 180
  Amina, jina lake lihidimiwe.

  Mungu ametwaa, Mungu ametoa, kazi ya Mungu haina makosa, tushukuru kwa kila jambo.

  E Mungu baba wa huruma, ahsante kwa kuviua vitoto vya darasa la pili kifo cha kikatili.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  duh maskini! mungu awape subira wafiwa wote na awaweke pema peponi hao waliotangulia.

  hizi ajali hapana kwa kweli ...................ni too much
   
 9. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Poleni wafiwa, duniani tunapita wote ila kutangulia ndo kwaogopesha. Tena wanafunzi, yawezekana kulikuwa na raisi wa baadae hapo.

  Poleni sana, tujikazeni katika kipindi hiki cha majonzi.
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  RIP jamni inasikitisha sna
   
 11. s

  schulstrasse Senior Member

  #11
  Aug 6, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP:disapointed:
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  pole ndugu jamaa na marafiki wa wafiwa ni habari ya uchungu sana.
   
Loading...