Msiba mkubwa swissport dar es salaam;burian mr muyanza tulikupenda mungu amekupenda zaidi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndugu wapendwa
wote wafanyakazi wa swissport dar jro na east africa nzima polen kwa msiba mkubwa wa ndugu yetu kaka yetu
mr muyanza loadcontroller aliefariki kwa ajali ya gari pale njia panda airport kwa kugongwa vibaya na gari leo mchana
mungu awajalie uvumulivu ndugu jamaa familia yote pamoja na management yote ya swissport
bwana ametoa bwana ametwaa
amen
 
R.I.P Muyanza
 
Oohhhh my god
jamani huyu baba atakumbukwa kwa kutujaza matumbo apart kuwa kikazi alikuwa mjasiriamali wa kuuza vyakula kupitia mkewe hope akuna aliekmopa jamani naomba kama kuna mtu ana deni lake ni wakati huu wa kuongeza deni mara mbili na kutoa kwa familia yake alikuwa na upendo wa ajabu aisee we kuandika kubeba chakula toka mburahati unakuja kuishia kuandika majina watu zaidi ya 20 na hela baada ya keshokutwa kama si wiki ukikutana na wale maharamia leo kazi aijachanganya utasema anasubiri abiria kwenye daladala

rip muyanza boy hope wana swissport munguawape uvumilivu pia
 
unauma sana kifo cha namna hii,watoto wanajua baba atawaletea chakula na fedha kumbe ndio kawatoka bila hata ya buriani.ngekuwa dar huyo dreva ningemtundika miaka 30 na kufilisiwa mali zake watoto wa marehemu wapate kuishi.
 
mwombee uko aliko ambako akuna alieenda akaja kutujuza kilichopo huyo dereva mwachie mungu amalizane nae
pole sana mfiwa yaaaaaaaaniii inaumiza sana sana jamani nasikia kaingia asbh akaomba akanywe kachai chake pale njiapanda
loh burian tena muyanza
 
ndugu wapendwa
wote wafanyakazi wa swissport dar jro na east africa nzima polen kwa msiba mkubwa wa ndugu yetu kaka yetu
mr muyanza loadcontroller aliefariki kwa ajali ya gari pale njia panda airport kwa kugongwa vibaya na gari leo mchana
mungu awajalie uvumulivu ndugu jamaa familia yote pamoja na management yote ya swissport
bwana ametoa bwana ametwaa
amen

rip muyanza
 
Namkumbuka huyu Mzee ameniuzia sana Pilau pale Airport
Mungu ampumzishe kwa Amani,pole kwa familia yake hasa mkewe ambaye ndiyo alikuwa anaandaa chakula.Pale njia panda inatakiwa waweke mataa sababu magari yanapita kwa kasi sana na ajali zinatokea mara kwa mara
 
namkumbuka huyu mzee ameniuzia sana pilau pale airport
mungu ampumzishe kwa amani,pole kwa familia yake hasa mkewe ambaye ndiyo alikuwa anaandaa chakula.pale njia panda inatakiwa waweke mataa sababu magari yanapita kwa kasi sana na ajali zinatokea mara kwa mara

mpwa hope huna deni lake??
 
Back
Top Bottom