Msiba mkubwa chuo kikuu cha waislam morogoro umekikumbuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba mkubwa chuo kikuu cha waislam morogoro umekikumbuka

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by thatha, Aug 5, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  MSIBA MKUBWA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO.
  Hawa ni miongoni mwa wanafunzi inasadikiwa miongoni mwa waliofariki dunia katika msiba wa Meli iliosama hivi karibuni wakielekea Zanzibar
  Jumla ya wanafunzi kutoka Chuo hicho waliokutwa na msiba huo ni 14.
  KILA MTU ATAKUFA, KILA MTU ATAHUKUMIWA NA KILA MTU ANAPATA ALICHOCHUMA. HUKO HAKUNA KUTOA RUSHWA ILI ADHABU YAKO IPUNGUZWE AU IFUTWE, NI MAZINGITIO MAKUBWA KWA BINAADAMU WOTE


  Every soul will taste death, and you will only be given your [full] compensation on the Day of Resurrection. So he who is drawn away from the Fire and admitted to Paradise has attained [his desire]. And what is the life of this world except the enjoyment of delusion.( QURAN Al Imran (3): 185)  SOURCE: ANNUR
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea
   
 3. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  kwa hakika sisi wote ni wake yeye Mungu na kwake ndio marejeo yetu........Niwapa pole wanajumuia wa chuo . Mungu awApe subira katika hili....
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kifo chatosha kwa mawaidha kwa bonadami!!!!
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  naaam,
   
 6. S

  Safhat JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupoe sote.
   
 7. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 60
  inalillahi wainalillahi rajuun!
   
Loading...