Msiba Los Angeles - Mtanzania aliyepotea LA, akutwa amekufa!

Habari
-
On behalf of the family of our sister Caroline Mmari, the Tanzanian Community in Southern California is sad to update everyone that police have found the body of Caroline Mmari buried in the backyard of the home that she lived prior her disappearance. Currently the body is still with the police and will be released to the family once the investigation is completed. The husband of the deceased is already in police custody.
-
Meanwhile, the family of the victim is in the initial stages arranging to transport the body of Caroline Mmari back to Tanzania. On behalf of the family of the victim, the Tanzanian Community in Southern California is asking for your moral and financial support during this difficult time.
-
For those who are in the United States please send your financial support to Lilian Mgonja who is an aunt and a family representative of the victiom's family in Southern California: see the details below...

Bank of America
Name: Lilian Mgonja
Routing Number: 122000661
Account Number: 0475560122
-
We will provide additional updates as more information becomes available to us. Among pending issues, the family of the victim is planning for a memorial service but the date and venue will be provided once the police releases the body to the victim's family. You can reach the victim's family in the United States at:

-
The Tanzanian Community in Southern California is extending prayers to the family of the victim and all those who are emotionally attached to the death of our beloved sister Caroline Mmari. -
May her soul rest in peace, Amen...

Tanzanian Community in Southern California
RIP Caroline na Poleni wafiwa.Je mume wa marehemu ni mtanzania au Raia wa kigeni?
 
Poleni wafiwa...May God rest her soul in eternal peace...so far alkini sijaiona kwenye news but... like someone said up there it can happen to any body.
One question though, is the husband an american OR a Tzedian?

Our Father who art in heaven...please deliver us from all these evil. what is to happen to the kids? Poleni sana
 
Hadi hivi sasa, zaidi ya ile "missing person notice" ya mwezi Mei mwishoni, sijaona mainstream media outlet USA iliyohabarisha kifo cha huyu dada Marehemu (hakuna ushahidi wowote kuwa local TV stations za Southern California zimetangaza hii habari kulingana na madai ya mtoa mada). Lakini, kama angekuwa ni mwanamke Mzungu, mbwa au hata sungura ameuwawa kwenye mazingira ya kinyama namna hii ndani ya Marekani, basi ingekuwa prime time news na ingetangazwa kila mahali from local TV stations States zote na newspapers across whole of USA na isitoshe, media sources zote all over the globe na kwenye internet wangetangaza hii habari.
 
Mkuu hiyo accusation niliyoi-bold kwa rangi ya blue, hujanitendea haki. Hivi ulihitaji ushahidi gani kuonyesha kwamba habari hiyo niliiona ikitangazwa kwenye local stations? Hivi, news ikitangazwa lazima kuwe na ushahidi? Mimi ndiye niliyeona hiyo news na mara baada ya kuiona nikaandika hapa JF kwa lengo la kujulishana na pia kwa kuwa ninakumbuka niliona Tangazo la kupotea kwa huyo dada hapa hapa JF.

Sasa unaposema kwamba hakuna ushahidi kulingana na "madai" ya mtoa mada, inaonyesha kana kwamba nimesema uongo kuwa habari hiyo ilitangazwa kwenye TV. Je, mimi nilizipata wapi hizo habari? AU niliota kwamba mwili wa huyo dada umepatikana akiwa ameuawa? Namna hii mnaweza kuwafanya watu wawe wanasita kuandika habari za muhimu kwa kuogopa kudaiwa ushahidi.

Mwisho, unatakiwa kuwa makini unapojenga hoja yako. Hoja ya ubaguzi wa mainstream media kwenye kutangaza habari sipingani na wewe, lakini naomba kukuhakikishia kwamba habari hiyo ilitangazwa na local station, kama unani-doubt basi huo ni msimamo wako na sina ushahidi kwamba niliona habari hiyo.
 
i cant believe her life ended like this...

she was soo charming kwa kila aliyemfahamu back in MZJ...

RIP Carol..

pole cath na familia,mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu..!
 
Hadi hivi sasa, zaidi ya ile "missing person notice" ya mwezi Mei mwishoni, sijaona mainstream media outlet USA iliyohabarisha kifo cha huyu dada Marehemu (hakuna ushahidi wowote kuwa local TV stations za Southern California zimetangaza hii habari kulingana na madai ya mtoa mada). Lakini, kama angekuwa ni mwanamke Mzungu, mbwa au hata sungura ameuwawa kwenye mazingira ya kinyama namna hii ndani ya Marekani, basi ingekuwa prime time news na ingetangazwa kila mahali from local TV stations States zote na newspapers across whole of USA na isitoshe, media sources zote all over the globe na kwenye internet wangetangaza hii habari.

Kwahiyo nini ushauri wako sasa?
 
Keil,
Achana na huyo wa kuja. Yaani anafikiri TV zote za USA zitangaze kuna binti kapotea kwani huyo ni mtoto wa nani?

Nimekuwa naangalia sana program za ID (Investigation Discovery) na nimekuja kuamini kitu kimoja kuwa kama wangelikuwa wanaandika habari za vifo au kupotea watu USA, basi wangelikuwa wanafanya hivyo kila siku. Hufanya hivyo kama huyo ni mtoto wa FULANI au muuwaji kageuka na kuwa Serial Killer. Vinginevyo hubaki tu kuwa habari local.

Ukweli ni kuwa USA kuna haya maovu yanafanyika kwa wingi sana. Wengi huja USA kutimiza American dreams na mara wakikwama basi huanza kutafuta njia za mkato. Nyingi huwa ni kukata bima kwa mke/mume na mwisho yanatokea mauwaji na mtu analipwa hela nyingi za bima. Ila sema mashirika ya BIMA huwa hayataki MILELE kulipa hizo hela na hivyo yakipata wasiwasi basi huanza upepelezi. Sintashangaa kusikia huyu dada marehemu alikuwa kakatiwa bima na mumewe. Na kama ni hivyo na jamaa alienda kudai hela za bima basi alienda kujichongea na kutoka hapo si ajabu walianza kusaka nyendo zake.

Poleni wafiwa na mungu ampe mapumzisho mema marehemu. Wote na huyo MUUWAJI, njia yetu ni hiyo.
 
Hilo la bima ndio namba moja US na ndio mana spouse ni lazima awe first one to be cleared,otherwise ni infidelity.
Poleni wafiwa,dunia tambara bovu,Mungu awape amani na pia muhakikishehaki inatendekea kwasababu sheria za marekani hata mtuhumiwa ana haki hadii atakapokuwa convicted kwa ushahidi si tu wa kimazingira bali pia wa kisayansi.....Kama ni kweli kulikuwa na bima basi moja kwa moja hilo linawezekana,na pengine kwa akili yao fupi wandhani kuwa hawa ni waafrika basi uchunguiz hautakuwa mkali,hawajui kuwa kampuni za bima zikiona ni pesa nyingi ziko radhi kushirikiana na FBI na kuingia gharama ili kuupata ukweli,mara nyingi hayao ndo matatizo,hivyo mlioko nje ya nchi muwe makini,wengine wanakata insurance kwa siri,hivyo muwe waangalifu.

Kwasababu ukifunguliwa life insurance na wewe hujui ni kama ndafu tu inayolishwa vizuri ikiwa haijui ni krismasi ama harusi inasubiriwa kuchinjwa na kufanywa kitoweo...Kwasababu nimeshaona cases nyingi tu,kwamba mumwe ama mke anakwenda kuongeza dau la inasurance kwamba mmoja wao akifa,basi mjane anapata kadhaa sometimes millions,na kwa kawaida hilo ndo linalowaweka hatiani,pengine mtu labda wana insurance life ya dola thelathini halafu anenda kuipandisha hadi laki tano USD,Hapo ndo kasheshe na uchunguzi unaanzai hapo,tamaa ya pesa mbaya sana,ilimuuza hata ya Jesus Christ
 
Back
Top Bottom