Msiba London | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba London

Discussion in 'Matangazo madogo' started by X-PASTER, Aug 6, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Aug 6, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  As received...
  Inna lillah wa inna 'ilayhi rRaji'un

  Hakika sisi ni wa M'Mungu Na Kwake Ndio Marejeo.


  [​IMG]

  FAMILIA YA BWANA MUSSA OMAR BALOLA NA WANAFUNZI WOTE WA NORTHBURY PRIMARY SCHOOL, BARKING LONDON WANAYO MASIKITIKO MAKUBWA YA KUFIWA NA MTOTO, RAFIKI, KAKA, MDOGO WAO ALIYE JULIKANA KWA JINA LA ABDUL-HAKIM DANIEL BALOLA KILICHOTOKEA MOMBASA, KENYA TAREHE 2/08/2009.
  MSIBA UPO NYUMBANI KWAO

  59A MARBOROUGH ROAD
  EAST LONDON
  E7 8HA
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja Wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa marehemu katika kipindi hiki kigumu kwao~AMIN
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  poleni wafiwa na mwenyezi mungu hawape nguvu wakati huu mgumu.
  mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,amin.
   
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  Aug 6, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  It is really sad when we lose such young lives.
  Mwenyezi Mungu amrehemu roho yake.
  Amin.
   
Loading...