Msiba: Halinga hatunaye

Status
Not open for further replies.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,944
703
Mbunge wa zamani wa CCM jimbo la Mbozi Mashariki Edson Halinga(68) amefariki dunia usiku wa kuamkia jumanne. Marehemu aliyekuwa akiishi mtaa wa Vilolo mjini Viwawa Mbozi alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Moyo. Marehemu alikuwa akipata matibabu katika hospitali ya Viwawa kabla mauti hayajamfika.

MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.....AMINA
 
R.i.p. Ndugu halinga. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom