Msiba chuo cha Tumaini SMMUCO Mwika, mhadhiri afariki

Musa Nyambo

Senior Member
Aug 27, 2013
170
23
jamani kuna msiba wa mhadhiri muhimu sana ktk chuo cha SMMUCO TAWI LA MWIKA. hivyo masomo yameahirishwa ili Wanachuo waomboleze. msiba ulitokea jana tarehe 07/12/2014 mazishi yanafanyika leo saa kumi nyumbani kwake kigamboni.
 
R,I,P Madam Sabra, mbele yako nyuma yetu yanafuata. tutakukumbuka daima,. by KAROLINA MHANGA,
 
jamani kuna msiba wa mhadhiri muhimu sana ktk chuo cha SMMUCO TAWI LA MWIKA. hivyo masomo yameahirishwa ili Wanachuo waomboleze. msiba ulitokea jana tarehe 07/12/2014 mazishi yanafanyika leo saa kumi nyumbani kwake kigamboni.

mkuu hujasomeka ungetakiwa ueleze ni nani aliyefariki na nani chanzo cha msiba then uelezee alikuwa anafundisha nini na mazishi yatafanyika wapi kigamboni ya dar au dodoma.

ok

RIP
 
Huyu mwakani atamaliza masoma yake akiomba kazi akikosa atasema kaonewa.

Back
Top Bottom