Msiba CHADEMA Mwanza

MCHARA

Senior Member
Jan 15, 2011
109
22
Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!

Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!

Ee bwana mpe pumziko la milele na mwanga wa milele umwangazie Amina!

Poleni sana wafiwa (kama taarifa hii ni ya kweli lakini, kwa sababu haina chanzo), ila kata tutaitetea kama kawa.

Hakika ni msiba mkubwa kwa Wana wa Chadema wa Taifa nzima. Na nasema poleni wana familia kwa pigo kubwa kama hili. MUNGU ATALIZIBA PENGO HILI. (R I P)

R.I.P diwani wetu cdm!tutakuenzi kwa kuendeleza mapambano mpaka kieleweke.

Poleni wafiwa wote kwa msiba na Mungu ailaze roho ya Marehemu ameni.

pole sana wana kirumba, familia na CDM Mungu awajalie ujasiri hasa katika kipindi hiki kingumu

Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.

Chanzo ni mimi mwenyewe kwani niko msibani!

ata hivyo watu wamekariri tu na wanafikiri kusema haina chanzo ndo wanafanya kitu chema bila kujiua kama kuna habari zingine mtu chanzo ni yeye mwenyewe.

Bwana alitoa na bwana atatwaa Mungu ampe pumziko la milele amen

Umetimiza Wajibu wako Mpiganaji, Kapumzike kwa Amani. Ulionyesha ukomavu katika mageuzi tokea pale ulipodhibiti ubadhilifu wa Mapato katika Mwalo wa Kirumba Mwaloni chini ya Taasisi ya MWADESO.

Nakumbuka wiki iliyopita nazungumza nawe nikiwa Mwanza ukiwa katika Afya njema kabisa, Mitaa ya Mwanza Hotel wakati tulipogongana Ofisi za Precision Air nikithibitisha safari. Thread hii naitazama kama Ndoto.

Manoko.jpg

Mungu Akulaze Mahala Pema.

Am deeply hurted

Back
Top Bottom