"Mshumaa" ya Alikiba imenifanya nishawishike kumtext ex wangu ambae nimemkazia mwaka mzima

Hajui biashara ya muziki na hana management nzuri kilicho mjaa kichwani nina sauti nzur na najua kuimba na maringo na dharau he should be out of his cage if he wants to know more
Ameridhika na hali yake mkùu
 
All in all mkuu alikiba kauaa
Sure kiongozi, nilikuwa najiuliza why anapambanishwa na mondi huku yeye ni mchovu vile, but kwa huu wimbo wa mshumaa, nimeamini alikiba akiacha masihara, na kutake vitu for granted, akapata management nzuri, ni bonge la msaniii, tatizo anaridhika na mafanikio na sio mpambanaji, he is not struggling, wenzake hawalali yeye anasema bila mama yake kuruhusu hatoi wimbo,,,so unagundua tatizo sio kipaji, he is very talented, tatizo ni seriousness
 
Back
Top Bottom