Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Guys, yule mfalme wa Bongo Fleva anayejulikana kama The king Him self Ally Salehe Kiba ametowa goma lake jipya linalokwenda kwa jina la Mshumaa sio siri ngoma ni ya moto sana haichoshi kusikiliza sijajuwa mpaka sasa Audio ame copy kwa nani na video ame copy kwa nani he is the ni goma kali sana wanangu twendeni tukaliangaliye You tube huko

 
Kiba amechoka,acha apumzike

maana hiyo penseli aliyoondoka nayo mkewe,bado inamchanganya..

sema anajikaza kwa vile hataki Showoff'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom