Mshtuko Mkubwa: Wakenya 89 Wafariki Nchini Saudi Arabia Ndani Ya Miaka Huku Vifo Vyao Vikihusishwa na Ugonjwa Wa Moyo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Taarifa za kushtusha na kushangaza sana

Wakenya 89 wanaoishi na kufanya kazi nchini Saudi Arabia wamepoteza maisha ndani ya kipindi cha miaka 2

Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya nje sababu za Vifo hivyo vyote zimetajwa kuwa ni maradhi ya moyo yaani cardiac arrest

Wabunge wengi kama ilivyo kwa Wakenya wengine wamepinga vikali chanzo cha vifo hivyo huku wakitaka uchunguzi zaidi ufanyike

Katika orodha hiyo ya wahanga walioathirika zaidi ni wasichana wanaofanya kazi za ndani Nchini Saudi Arabia

89 Kenyans die in Saudi Arabia from ‘cardiac arrest’

Eighty-nine Kenyans, majority of them domestic workers, have died in the past two years in Saudi Arabia where authorities reported the cause of death as “cardiac arrest”.

A report submitted to the National Assembly by Foreign Affairs Principal Secretary Kamau Macharia adds a new dimension to cases of abuse of Kenyans working in Saudi Arabia that have in the past prompted the government to ban its citizens from seeking work in the country.

This year, 41 Kenyans have died in Saudi Arabia, 28 of them domestic workers. Last year, 48 Kenyans – 29 of them domestic workers – died in the Middle East nation. The number of Kenyans reported to be in distress at the embassy in 2019 were 883, but the cases have risen to 1,025 in the last one year, according to the report submitted to the Labour committee on Thursday

The PS told the committee the government accepted the cardiac arrest explanation given by the Saudi government and never conducted autopsies on the bodies to independently determine the causes of the deaths.

This triggered condemnation from shocked MPs who suspected foul play in the deaths and pressed the government to do more to protect Kenya
 
Hii miarabu yenye dini ya mnyazi mungu mikatili sana.Ilianza na babu zetu ikawapeleka utumwa kwa mateso makubwa, sasa imehamia kwa dada zetu. Ilaaniwe kabisa😠
 
Hii miarabu yenye dini ya mnyazi mungu mikatili sana.Ilianza na babu zetu ikawapeleka utumwa kwa mateso makubwa,Sasa imehamia kwa dada zetu.Ilaaniwe kabisa😠
Bosi ana tatizo la figo lazima house girl umsaidie boss wako.
 
Hii miarabu yenye dini ya mnyazi mungu mikatili sana.Ilianza na babzetu ikawapeleka utumwa kwa mateso makubwa,Sasa imehamia kwa dada zetu.Ilaaniwe kabisa😠
... bosi ana tatizo la figo lazima house girl umsaidie boss wako.
Ndio ipelekee vifo vya dada zetu?😠
 
Wakuu hv dubai s ndo ipo Saudi Arabia? mwakani nategemea kwenda kufanya kaz huko kwa waliowahi kufika au kuishi huko, tupeni uzoefu kdg kwa ss ngozi nyeusi. Mambo ya ubaguzi sio
 
Wakuu hv dubai s ndo ipo Saudi Arabia? mwakani nategemea kwenda kufanya kaz huko kwa waliowahi kufika au kuishi huko, tupeni uzoefu kdg kwa ss ngozi nyeusi. Mambo ya ubaguzi sio
Dubai haiko Saud Arabia.

Mji Mkuu wa Saud Arabia Ni Ryiadh. Dubai Ni Mji Mkuu wa Falme za Kiarabu(UNITED ARAB EMIRATES-UAE)
 
Unakosaje Cardiac arrest kwenye nchi ambayo kuna wanawake warembo na wenye matako makubwa, ukiwatongoza tu unachinjwa hadharani, mataifa ya kiarabu ni Kuzimu halisi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom