Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,013
swali:
ni jimbo gani ambalo changamoto zimetatuliwa? tuanzie na ya ccm!
mleta uzi japo najua huna uwezo wa kufanya utafiti lakini utuambie uliongea na watu wangapi huko kigoma? ulitumia dhana gani? wanawake walikuwa wangapi? vijana na wanaume? uliongea na watu wenye mlengo gani wa kisiasa na kwann?
maswali ni mengi