Uchaguzi 2020 Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

swali:
ni jimbo gani ambalo changamoto zimetatuliwa? tuanzie na ya ccm!
mleta uzi japo najua huna uwezo wa kufanya utafiti lakini utuambie uliongea na watu wangapi huko kigoma? ulitumia dhana gani? wanawake walikuwa wangapi? vijana na wanaume? uliongea na watu wenye mlengo gani wa kisiasa na kwann?
maswali ni mengi
 
swali:
ni jimbo gani ambalo changamoto zimetatuliwa? tuanzie na ya ccm!
mleta uzi japo najua huna uwezo wa kufanya utafiti lakini utuambie uliongea na watu wangapi huko kigoma? ulitumia dhana gani? wanawake walikuwa wangapi? vijana na wanaume? uliongea na watu wenye mlengo gani wa kisiasa na kwann?
maswali ni mengi
Kwa hiyo unaona sifa shida kutotatuliwa majimboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona suala la ndalichako kwenda kugombea linafahamika lkn nakushangaa unaposema wana kigoma wamemchoka zitto tambua huyu ndali ndo atakuwa amefail Kama anataka anguko la aibu asiende kg twn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana Kigoma mjini. Ni kweli Zito Kabwe hajui maana ya kuwa mbunge wa jimbo. Anafikri ni mbunge wa Tanzania nzima. Kwa hiyo hafai kuwa mbunge wa jimbo. Lakini sasa siyo rahisi kusema kuwa huyu au yule. Ni juu ya wana Kigoma mjini kuchagua kati ya wale watakaojitokeza.

Wasifanye tena kosa la kuchagua mbunge asiye na nia ya kutetea maslahi ya jimbo lake. Na huu ushauri nautoa kwa wananchi wote wa mkoa wa Kigoma. Ni mkoa ambao hauna watetezi na ndiyo maana umeendelea kubaki nyuma miaka yote ya Uhuru wa nchi yetu. Wananchi wa Mkoa huu wanahitaji kujitafakari sana.
 
Kwa lipi kubwa alilofanya huyo Ndalichako?
Watu wa Kigoma mjini, Arusha mjini, Mbeya mjini na Moshi mjini. Wanajitambua sana. Hiyo ni mifano michache.
Huyo fisadi aendelee kusibiri kuteuliwa tu.
 
Wana Kigoma mjini. Ni kweli Zito Kabwe hajui maana ya kuwa mbunge wa jimbo. Anafikri ni mbunge wa Tanzania nzima. Kwa hiyo hafai kuwa mbunge wa jimbo. Lakini sasa siyo rahisi kusema kuwa huyu au yule. Ni juu ya wana Kigoma mjini kuchagua kati ya wale watakaojitokeza. Wasifanye tena kosa la kuchagua mbunge asiye na nia ya kutetea maslahi ya jimbo lake. Na huu ushauri nautoa kwa wananchi wote wa mkoa wa Kigoma. Ni mkoa ambao hauna watetezi na ndiyo maana umeendelea kubaki nyuma miaka yote ya Uhuru wa nchi yetu. Wananchi wa Mkoa huu wanahitaji kujitafakari sana.
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unaona sifa shida kutotatuliwa majimboni

Sent using Jamii Forums mobile app
twambie jimbo la kongwa kwa ndugai kuna maji, umeme, vijana wa kule wote wana ajira.vinginevyo unasumbuliwa na ujingishwaji mnaoambukizana hapo lumumba! mshindwe kuleta maendleo kwa miaka 50 plus yaletwe na waliochaguliwa juzi.. hayawan wewe
 
twambie jimbo la kongwa kwa ndugai kuna maji, umeme, vijana wa kule wote wana ajira.vinginevyo unasumbuliwa na ujingishwaji mnaoambukizana hapo lumumba! mshindwe kuleta maendleo kwa miaka 50 plus yaletwe na waliochaguliwa juzi.. hayawan wewe
Kama Ndugai hajaleta maendeleo na Zito hajaleta maendeleo nini umuhimu wa kuchagua chama cha upinzani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni tuuu kumdanganya mama wa watu kwa ahadi ya ujira kiduchuuu

Kwa hapa kigoma ujiji hapawezi maybe apige hodi wilaya za jirani....


Mpeni ushauri na c kutafuta namna ya kumlia pesa zake🏃🏃🚶🚶🕴🕴🗣
 
Kama Ndugai hajaleta maendeleo na Zito hajaleta maendeleo nini umuhimu wa kuchagua chama cha upinzani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
ni vyama vya upinzani ndivyo vilivyoibua kashfa ya uzwaji wa za umma kwa nyingine hata kwa mahara .
ni vyama vya upinzani ndivyo vilivyoibua kashfa kubwa zilizosababishwa na mafisadi wa hapo lumumba anzia buzwagi, EPA, KAGODA , MEREMETA, TWIN TOWERS NK
wewe sijui ulikuwa wapi huko usikokuwa unasikia
kama unahisi kwamba tu kwasababu zito hajaleta maendleo kama ndugai ndiyo asichaguliwe ccm haifai kabisa maana ndo iliyoongoza nchi ambayo mpaka leo watu wanakunywa maji ya tope huko nachingwea.
 
Mbona ni jambo la kawaida tu. Mwache aende. Mtoto akililia wembe mpe; ukimkata siku nyengine ataogopa. Nenda mama ukajifunze nawe.
 
Waislam wako wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi Kigoma Mjini karata ya dini haina guvu sana Waislamu na wakristo pale idadi inalingana , ndiyo maana ilikuwa rahisi Zitto na Serukamba walibadilishana majimbo na wote wakapita. Lakini Kigoma vijijini (kaskazini) Zitto aliambiwa hatukupi kura nenda mjini kuna waislamu wa kutosha (sio majority). Na huko ndio akapita.

Halafu Kigoma Mjinj wameishachoka upinzani (fatigue) kwa hiyo Zitto anasweza akajiandaa kuachia pale kama factor ni udini. Hata hivyo Ndalichako amekulia Mwanga Katubuka Mtaa mmoja pale mjini. Wazazi wake wamehamia pale tangu enzi za vijijivya ujamaa, hivi kweli hiyo haimtoshi kuiwakilisha Kigoma mjini, bado mwanakibondo tu .? Acheni ubaguzi wa reja reja , she is quite fit.

Mwisho tu, tukubaliane hivi 2020 tuna wapinzani zaidi ya 20 wa upinzani wataingia bungeni kweli? Si kwa sababu hawapendwi bali majeruhi aliyopata 2015 ccm wanaona yanatosha, ni mwendo wa kuchukua kwa nguvu . Mimi naamini kwenye free and fair elections ccm hangepita , lakini chama dola zamani kiktumia mabao ya mkono , sasa ni kuchukua tu kwa halali na haramu. Halafu nikisikia niombeeni najiulza hiyo MUNGU anayeombwa ndiyo huyu tunayeamini mtenda haki au kuna wengine wapenda wizi wa kura kama serikali za Afrika zifanyavyo. Very wonderful.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uzushi. Ndalichako hawezi kuthubutu kugombea Kigoma mjini. Labda akajaribu kwao huko Kasulu
 
Elitwege,
Zitto hana mpango, yeye anasema wana Kigoma hawastahili chochote cha furaha eti kwa sababu walishazoea matatizo toka uhuru. Anasubiri uchaguzi ukikaribia awape ahadi hewa zingine ili wamchague.
 
Back
Top Bottom