Ni ukweli usiopingika kuwa, matokeo yote yamepokelewa laikin hadi sasa tume imeshindwa kutangaza matokeo kutokana na mshituko walioupata baada ya kujumlisha kura zote, tume ilyojitapa kutangaza matokeo ndani ya siku ya uchaguzi! mvua ni kisingizio cha kiutendaji ila ni aibu kuona sehemu kama igunga yenye kata kama 24, kuna vituo 410 tu, je mmeshindwa nini?zambia mliwaona?matokeo ya nchi nzima yamechukua mda gani?NA MOJA YA SABABU ZINAZOLETA VURUGU SEHEMU YOYOTE YA UCHAGUZI NI UCHELEWESHAJI WA MATOKEO NA NDICHO TUME WANAKIFANYA!