Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Hii ni hali ya kusikitisha sana kwa nchi yetu. Watu tuliowatarajia wawe mbadala wa ccm wametuangusha.
Leo hii ukitaja neno Madawa ya kulevya utaandamwa sana na upinzani ,je kwani kuna mahusiano gani kati ya wauza madawa ya kulevya na upinzani??
Kwa nini upinzaní wa Tanzania uko bega kwa bega na wauza madawa ya kulevya??