Mshirika wa karibu wa mh. Hakimu wa (w) kilosa,mbaroni kwa ujambazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshirika wa karibu wa mh. Hakimu wa (w) kilosa,mbaroni kwa ujambazi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by McEM, Aug 20, 2011.

1. McEM

McEM Member

#1
Aug 20, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 64
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Huwezi amini rafiki mkubwa na mwana miradi wa mh. Hakimu wa mahakama ya wilaya kilosa,atiwa mbaroni kwa ujambazi

2. Radhia Sweety

Radhia Sweety JF-Expert Member

#2
Aug 20, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 4,448
Likes Received: 345
Trophy Points: 180
Kilosa ipo upande gani wa dunia?

3. S

Sio Mwanasiasa Senior Member

#3
Aug 20, 2011
Joined: Mar 4, 2011
Messages: 115
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Ashtakiwe

4. McEM

McEM Member

#4
Aug 20, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 64
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kilosa ni wilaya moja wapo ya mkoa wa morogoro

5. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#5
Aug 20, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,482
Likes Received: 12,742
Trophy Points: 280
Hahaha hawa ni wale kila mara wanapata kesi af jaji/hakim anakula kiti kidogo then kesi dismissed!kwa njia moja au ingine wanashirikiana

6. b

bitimkongwe JF-Expert Member

#6
Aug 20, 2011
Joined: Oct 21, 2009
Messages: 3,034
Likes Received: 211
Trophy Points: 160
My dear Sweety unaishi tanzania kweli. Hata ulipopitia sekondari hukusoma vituo vya central railway? Na mafuriko ya mwaka jana hukuyasikia.

Samahani lakini

7. B

Bajabiri JF-Expert Member

#7
Aug 20, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

radhia,kilosa ni wilaya oliyopo mkoa wa morogoro,ndo anapotoka mr MKULO,ndipo ilipo MBUGA YA MIKUMI,NDIPO ILIPO DUMILA

8. B

Bajabiri JF-Expert Member

#8
Aug 20, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

anaitwa nani huyo rafiki wa HAKIMU?????

9. McEM

McEM Member

#9
Aug 20, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 64
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ukweli ni kwamba kuna jambazi limekamatwa juzi mjini moro,baada ya kibano akamtaja jama ndie mnunuzi wa mali za wizi.

10. McEM

McEM Member

#10
Aug 20, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 64
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Jina ni sefu ngola ana miliki mashine ya kusaga na kukoboa mpunga na pia ana miliki fuso

11. Lokissa

Lokissa JF-Expert Member

#11
Aug 20, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 7,079
Likes Received: 154
Trophy Points: 160
sii kosa kwa hakimu kuwa na marafiki ktk miradi halali, na sii kila mtu mwenye miradi ni jambazi, na sii kweli eti mtu akiachiwa na hakimu au jaji basi kuna rushwa imetolewa sasa hakimu atafanyaje kama upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha mashtaka pasipo kuacha shaka? cha kujiuliza pia sii kila mtu anaetajwa na jambazi kuwa mshirika wake anakuwa nae jambazi wengine hutaja majina ya mahakimu majaji hata viongozi wa siasa kuwakomoa au kuwasingizia.

12. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#12
Aug 20, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,482
Likes Received: 12,742
Trophy Points: 280

NDO YALIVYO MAJAMBAZI HIZO RASILIMALI NI BOSHENI KAZI HALISI NI MTUTU

13. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#13
Aug 20, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Jamani! Hao ndiyo magamba?

14. zomba

zomba JF-Expert Member

#14
Aug 20, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Na AM ni nani?

15. McEM

McEM Member

#15
Aug 21, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 64
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kwa upande mwingine inaweza ikawa huu ni mchongo wa kukomoana. Kwani kuna tajiri aliuziwa nyumba ya urithi na wanafamilia kwa taratibu zote na mgao wa pesa waligawana mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo na ambapo ndipo mirathi ilipo funguliwa.

Cha ajabu baada ya muda kupita alitokea mmoja wa wanafamilia,kumfanyia fujo mnuzi wa nyumba na kudai nyumba haiuzwi,kipindi hicho fungu lake alikwisha kulichakachua. Familia na mnuzi waka mbeba mfanya fujo mpaka polisi,mahakamani na kuhukumiwa jela miezi 3. Jela ali lala siku 1 asubuhi yake, meneja wa benk (NMB) alimfuatilia rufa ktk mahakama ya wilaya kilosa.

Kufikia saa 8 mchana, mfungwa kaachiwa. Ukija upande mwengine hili jengo la mashine ya mheshimiwa na mshirika wake likuwa ni mali ya hi familia walio uza nyumba ambayo mpaka sasa haieleweki hatima yake nini. Hebu tafakarini hili sijuwi !!

16. DULLAH B.

DULLAH B. JF-Expert Member

#16
Aug 21, 2011
Joined: Apr 21, 2011
Messages: 674
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Kilosa napajua na ndo kwe2, huyo m2humiwa namjua lkn cna hakika kama anashiriki ujambazi labda huo ununuaji wa vi2 vya wizi.

Loading...