Nikishakuchimbia kisima unaanzisha figisu ili tutengane naa mfaidika ni wewe hapo vipi?Kwa Wanajavi na wadau wakilimo.
Natafuta mshiriki katika kilimo ambaye tunaweza unganisha nguvu na kufanya kazi pamoja. Nashamba ukubwa wa ekari 60 lipo dodoma nacho hitaji ni mtu wakushirikiana naye ili tuweze chimba kisima cha maji na kupiga kazi.