Mshipa wa aibu umekatika?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
bd31e44822e0b39b796e3b656157a397.jpg
 
Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
hii sio tafsiri ya picha tajwa......hakuna anaewahi kuihudumia familia yake hapo na mpiga picha asilaumiwe alaumiwe huyo dada aliejitwisha viloba na mshipa wake wa aibu kukatika.......fuatilia uzuri mkuu ndani ya hilo basi dogo utagundua hakuna anaewahi kuihudumia familia yake..
 
Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
Mkiwa mnawahi nyumbani na usafiri ni mgumu, sharti kuacha "maungo" yenu wazi?
Alafu hebu chunguza vizuri hiyo picha, kweli kuna dalili yoyote ya kusingizia usafiri ulikuwa mgumu? Kama sio ulevi wa "pilau" basi ni jotoridi la Dar na kupatwa kwa dala dala na mpiga ngoma aliye jirani na huyo unayemtetea?
 
Back
Top Bottom