Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Kwa hiyo tuko safarini etiviwanda viwanda viwand
Si wacheza ngoma hao duuuh
<<< Ndio maana JOTO Halipunguiiiii >> na Ikinyesha Mvua lazma utasikia wa Mabondeni HAMENI >>
hii sio tafsiri ya picha tajwa......hakuna anaewahi kuihudumia familia yake hapo na mpiga picha asilaumiwe alaumiwe huyo dada aliejitwisha viloba na mshipa wake wa aibu kukatika.......fuatilia uzuri mkuu ndani ya hilo basi dogo utagundua hakuna anaewahi kuihudumia familia yake..Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
Baikoko Bus service, labla kama wanawahi kwenye kitchen Part.Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
Mkiwa mnawahi nyumbani na usafiri ni mgumu, sharti kuacha "maungo" yenu wazi?Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?