MSHINGA:kwa wote wanaonilaumu na walionilaumu na mada zangu 2013. KARIBU 2014

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
kwanza niseme kuwa sijutii kuandika mada yoyote kati ya zote hapa JAMVINI pamoja na kwamba nilikuwa mgeni sana maana nilijiunga mapema mwaka huu bado sikuweza kabisa kushiriki kuanzisha mada mpaka baadae sana.
kuna kipindi nimelaumiwa sana hasa na wadada nikionekana kama nawachukia ama kuwashambulia KUTOKNA NA JINSIA YAO.
nataka ieleweke kuwa mimi binafisi ninaye mama yangu kipenzi, dada zangu wapenzi,shangazi zangu,bibi zangu, mpenzi wangu, na marafiki wengi japo si sana wa kike ambao wote kwa ujumla nawapenda sana.NA SI KWELI KUWA NACHUKIA WANAWAKE.
si kweli kuwa nilikuwa naweka mada kutokana na chuki ya jinsia. i love all people but i hate all evils and wrong deed.
na mada zangu nyingi sana roughly 95% zililenga kuirekebisha jamii na mapungufu mengi yanatokea kila siku katika mambo kadha wa kadha,lakini nililaumiwa zaid nilipongelea wadada wa humu ndani lakini bado sijutii.
nadhani nimeeleweka.
wengine walidhani na bado wanaamini sikuwa naweka mada za jinsia yangu ya kiume lakini si kweli hata kidogo japo najuaa wengi hawakupata kuzipitia mada hizo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom