Mshindo wa Maalim Seif Zanzibar Machi 19

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
SIKU moja kabla ya kile kinachoitwa uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimepanga kubadilisha upepo, anaandika Faki Sosi.

Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinaeleza kwamba, CUF ambayo tayari imeweka msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi huo haramu ulioitishwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (CUF) tarehe 20 Machi mwaka huu, kimepanga kuushangaza ulimwengu tarehe 19 Machi mwaka huu.

Taarifa hizo zinaeleza kwamba, pamoja na harakati zinazofanywa na Serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), ZEC na baadhi ya vyama vichanga viswani humo kushiriki uchaguzi, CUF imeonekana kutoyumba katika msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi huo.

Akithibitisha taarifa hizo, Abdul Kambaya, Naibu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Umma wa CUF amesema, chama hicho kitatoa tamko zito siku hiyo.

“Kinachoendelea kwa sasa Zanzibar hatushughuliki nacho, waendelee na mipango yao lakini tarehe 19 chama kitatoa tamko,” amesema Kambaya na kuongeza“chama hakiyumbi hata kidogo.”
Kwa muda mrefu sasa wanasiasa, wachambuzi, jamii na mataifa ya nje wamekuwa yakionya hatua iliyochukuliwa na Jecha Salim Jecha, kada wa CCM kupitia mwavuli wa uenyekiti wa ZEC kuwa, kuvuruga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 Machi mwaka jana kunaweza kusababisha mauaji.

Kada hizi mara kadhaa zimekuwa zikimtaka Rais John Magufuli kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na mkwamo wa kisiasa visiwani humo jambo ambalo amelipuuza.

Akizunumza na wazee wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Rais Magufuli alieleza kwamba ‘siingilii’ uchaguzi huo licha ya kutakiwa kufanya hivyo.

Katika kuonesha kilele cha kupuuza ushauri huo, Rais Magufuli alisisitiza kwamba, kwa kuwa yeye ndiye amiri jeshi mkuu, atawashughulikia watu wowote ‘watakaoleta fyokofyoko’ kauli iliyotafsiriwa kuwatisha wazanzibari wanaopinga marudio ya uchaguzi.

Licha ya kauli za vitisho kutoka kwa Rais Magufuli, hali ya wasiwasi inaendelea kutawala visiwani Zanzibar hasa baada ya wananchi, CUF na vyama vingine tisa kutotikisika.

CCM kilikuwa chama cha kwanza kusherehekea hatua ya Jecha kufuta uchaguzi wa Oktoba mwaka jana.
 
Huyu kamabaye naye kiazi kweli sasa anamtisha nani anatia aibu kweli atie mguu ujinga wake aone moto wake anadhani magufuli mjinga kama lowasa?

Wakati wa kuchekeana siyo huu mhuni yoyote akileta ujinga apigwe tu maana hakuna namna nyingine nikuwapiga tu.
 
Ukurunzinza
 
Seif aendelee tu kuishi hotelini...atatibua mshono tu.
 
Wengine tunatamani kweli kupata fulsa ya kupiga watu hasa wajinga wapenda fujo kama hawa cuf mzee akituruhusu mbona ngoma itakuwa inogile tutawatwanga.
 
kinachoshangaza ni serikali ya Tanganyika kila unapofanyika uchaguzi zanzibar,humimina askari kutoka bara ili kuongeza nguvu zaidi juu ya raia wasiomiliki hata fataki na wasiozidi hata milioni na nusu..
Mtanganyika,mkoloni mweusi,
look at your self !
 
Wengine tunatamani kweli kupata fulsa ya kupiga watu hasa wajinga wapenda fujo kama hawa cuf mzee akituruhusu mbona ngoma itakuwa inogile tutawatwanga.

kwamba na wewe unajinasibu kuwa ni askari au kibaka wa mtaani tu unayesubiri huruma ya buku Saba za Lumumba?
 
Ni sawa kabisa, awakumbushe ukawa na wazanzibari kwa ujumla wao wasishiriki uchaguzi huo kwa sababu sio wa halali
 
Lo
Huyu kamabaye naye kiazi kweli sasa anamtisha nani anatia aibu kweli atie mguu ujinga wake aone moto wake anadhani magufuli mjinga kama lowasa?

Wakati wa kuchekeana siyo huu mhuni yoyote akileta ujinga apigwe tu maana hakuna namna nyingine nikuwapiga tu.
LOWASA alikufanya Nini ndugu???maana kama unawashwa
 
Huyu kamabaye naye kiazi kweli sasa anamtisha nani anatia aibu kweli atie mguu ujinga wake aone moto wake anadhani magufuli mjinga kama lowasa?

Wakati wa kuchekeana siyo huu mhuni yoyote akileta ujinga apigwe tu maana hakuna namna nyingine nikuwapiga tu.
Anayeshabikia marudio ya uchaguzi wa Zanzibar ndiye mj....ga
 
Huyu kamabaye naye kiazi kweli sasa anamtisha nani anatia aibu kweli atie mguu ujinga wake aone moto wake anadhani magufuli mjinga kama lowasa?

Wakati wa kuchekeana siyo huu mhuni yoyote akileta ujinga apigwe tu maana hakuna namna nyingine nikuwapiga tu.
Hamtishi mtu anaongelea msimamo wa chama chake na yeye ndie msemaji, au ulitaka ukaseme wewe?
 
Wengine tunatamani kweli kupata fulsa ya kupiga watu hasa wajinga wapenda fujo kama hawa cuf mzee akituruhusu mbona ngoma itakuwa inogile tutawatwanga.
Ukijiona una mawazo kama haya.. jua huna utu na demokrasia omekupitia kando..

Binadamu wa kawaida hawezi tamani kupiga binadamu mwenzie
 
Ccm ndio watakao vuruga amani ya nchi hii. Maguli mwenye hawezi kutoa tamko kwa sababu yeye mwenye hakushinda bali aliteuliwa na Nec na vyombo vya usalama huku wakitupotosha kwa uchaguzi wa Zanzibar hausiani na basi hakuna haja ya muungano kama kura za Zanzibar zilikuwa batili basi na bara zilikuwa batili.
 
Point
 
Back
Top Bottom