Mshindi wa UMOJA ATM ZALI mwezi wa nane Apatikana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshindi wa UMOJA ATM ZALI mwezi wa nane Apatikana!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Uswe, Sep 4, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ile ahadi ya umojaswitch kutoa zawadi kwa wateja wake kwa miezi mitano mfululizo imeanza leo, Bwana Samson Peter Migana ameibuka mshindi kwa kufanya transactions nyingi kwa mwezi wa nane kuliko wateja wengine wote, Bwana Samsoni amefanya transactions 72 kwa mwezi wa nane na amejinyakulia shilingi milioni moja kutoka UmojaSwitch, kila transaction moja ya ATM kwenye UmojaSwitch huchajiwa TZS 550 tu.

  Wateja wengine 15 wamejinyakulia jumla ya milioni 2 katika promosheni iliyofanyika leo

  Promosheni hii inaendelea hadi mwezi wa 12, washindi hutangazwa kila mwanzo wa mwezi, washindi wa mwezi wa September watatangazwa tarehe 3 october.


  tumia kadi yako ya ATM utaibuka mshindi!
   
Loading...