Mshindi wa BSS 2009 ni Kelvin; halina ubishi!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Jamani kijana ana kipaji si mchezo..leo hii najaribu kumwangalia na nyimbo atakazo toka nazo kwenye final kwa kweli mtakaokuwepo hakuna atakaejutia kiingilio...njo ujamjaze mtoto beatrice mahela

nawatakia kila la kheri washindi wote
 
Tusker Project Fame wamemaliza Yule Alphani ni balaa....Judge Ian Kafanya mambo hapo...kuimba ni mzima...MC nae ni balaa...Team ilikuwa imejitosheleza....BSS kufika hapo ni ndoto......Nyanyua Salama aimbe..uone balaa
 
sasa kama mshindi kishajulikana tunakwenda ukumbini kufanya nini?
 
Msome nyakati. Huyo kijana ana sauti ya mawimbi ya kufoji. Kipaji kipo kwa kasian ambae ni mshindi
 
Jamani kijana ana kipaji si mchezo..leo hii najaribu kumwangalia na nyimbo atakazo toka nazo kwenye final kwa kweli mtakaokuwepo hakuna atakaejutia kiingilio...njo ujamjaze mtoto beatrice mahela

nawatakia kila la kheri washindi wote

Bado sijakubaliana na wewe!
1. Kwa uimbaji, Kelvin Mbati hawezi kumzidi Pascal Kasian, wala Peter Msechu!
2. Iwapo majaji hawatakuwa na 'WILD CARD' leo, lazima Pascal amzidi kwa kura Kelvin (iwapo kura ni kigezo cha ushindi). Hii ni kwa sababu Kelvin amezidiwa kwa kura na Peter Msechu na Pascal Kasian.

Sipati picha ukumbi wa Diamond Jubilee utakuwaje iwapo Pascal hatashinda, nahofia usalama wa majaji (kama ni wale wale)!
 
......Nyanyua Salama aimbe..uone balaa....

Teh teh teh!
Sipati picha!
Kuna siku alikata mauno mbele ya majaji wenzake na watazamaji lukuki, pale Rita alipomponda kwamba hawezi kukata mauno km ya Mwapwani Yahaya!
 
1. Pascal Kasian.
2.Peter Msechu
3.Kelvin Mbati
4.Msichana..
5......
 
Pdidy,hii thread yako unavyosema haina ubishi,mimi kwangu inaubishi mkubwa sana,naungana na wote waliokiona kipaji cha Baba Rita(Pascal Cassian)ambaye kiukweli hata wewe ungekuwa jaji ni lazima ungempa tuu!!!
 
jamani mshindi wetu wa leo ni huyu
URL]

Paschal Cassian BSS 17 - Mwanza
nyakati zinaonyesha na kama itakuwa fair
 
Ni kweli kabisa kama majaji watafanya kwa haki - Paschal ana kipaji cha kuzaliwa hilo halina ubishi. Hakuna mahali anatoka nje ya KEY iwe sauti nzito au nyembamba
 
Kwa mtazamo wako Pdiddy huyo ndo mshindi wako lakini kwa mimi naona mshindi ni Pascal Cassian.
 
Tusker Project Fame wamemaliza Yule Alphani ni balaa....Judge Ian Kafanya mambo hapo...kuimba ni mzima...MC nae ni balaa...Team ilikuwa imejitosheleza....BSS kufika hapo ni ndoto......Nyanyua Salama aimbe..uone balaa
sikila kitu ambacho IAN ANAFANYA lazima Jugde wa BSS afanye, huo ni upungufu wa AKILI,.
BSS wana quality zao, tusker project fame wana za kwao. kila mradi umeanzishwa kwa malengo maalumu,
Hakika tumezoea kuiga kila kitu......kutuambia kua IAN anaimba sana , aah kwani ana album ngapi.
Kweli ujinga ni tatizo miongoni mwetu....mbona Ian hafanani na aina ya uchambuzi ambao Salama anafanya
 
Kinachouma zaidi ni kwamba, wale ambao hatuna mpango wa kwenda kuminyanya diamond jubilee hatutapata nfasi ya kuangalia coz hakuna umeme so no tv, oh this contry bwana.........
 
Kinachouma zaidi ni kwamba, wale ambao hatuna mpango wa kwenda kuminyanya diamond jubilee hatutapata nfasi ya kuangalia coz hakuna umeme so no tv, oh this contry bwana.........

pole weee aaah nchi hii mgao mgao tanesco mitambo mibovu nimesikia yana kuanza mwa1965:)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom