Mshike mkono mwenzako

Daktari wa Meno

JF-Expert Member
Sep 5, 2019
509
1,610
Habarini,

Nina imani hamjambo, leo ninataka kushika mkono watu kadhaa ambao nitavutiwa na kile ambacho wanakifanya.

Kama unaamini kazi/shughuli unayofanya ina upekee na jamii itapata kujifunza kupitia kazi yako unayofanya basi naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe ila kama kuna mtu yeyote ambaye anajihusisha na kazi ambayo unaamini ni ya kipekee ila tu iwe halali basi nikutanishe naye)

Andika kwa ufupi kazi unayofanya nikipata kazi ambayo itakuwa na kitu cha kujifunza basi nitaku- DM ili kuona namna tunavyoweza kuiambia jamii kwa kile anachojihusisha nacho.

(Kwa watakaokuwa Dar es Salaam nitawapa kipaumbele cha kwanza)

Karibuni.
 
Jamii forums ya siku ina utoto sana, mtu analeta serious issue na amethubutu watu kadhaa wanaleta utani, kuna vitu vya kuletetea utani na kuna majukwaaa kwa ajili hiyo kwa ni vyema tukawa watu wa kuheshimu mambo mazuri kwa jamii kama haya..

anyway kila la kheri kaka na Mungu akubariki kwa moyo huo ni wachache mliobarikiwa
 
Habarini,

Nina imani hamjambo, leo ninataka kushika mkono watu kadhaa ambao nitavutiwa na kile ambacho wanakifanya.

Kama unaamini kazi/shughuli unayofanya ina upekee na jamii itapata kujifunza kupitia kazi yako unayofanya basi naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe ila kama kuna mtu yeyote ambaye anajihusisha na kazi ambayo unaamini ni ya kipekee ila tu iwe halali basi nikutanishe naye)

Andika kwa ufupi kazi unayofanya nikipata kazi ambayo itakuwa na kitu cha kujifunza basi nitaku- DM ili kuona namna tunavyoweza kuiambia jamii kwa kile anachojihusisha nacho.

(Kwa watakaokuwa Dar es Salaam nitawapa kipaumbele cha kwanza)

Karibuni.
Twende twende twende kuna jamaa hapa wanafanya comedy ya kimya kimya maana ni mabubu,, wakamate mikono wanaitaji media coverage
 
Habarini,

Nina imani hamjambo, leo ninataka kushika mkono watu kadhaa ambao nitavutiwa na kile ambacho wanakifanya.

Kama unaamini kazi/shughuli unayofanya ina upekee na jamii itapata kujifunza kupitia kazi yako unayofanya basi naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe ila kama kuna mtu yeyote ambaye anajihusisha na kazi ambayo unaamini ni ya kipekee ila tu iwe halali basi nikutanishe naye)

Andika kwa ufupi kazi unayofanya nikipata kazi ambayo itakuwa na kitu cha kujifunza basi nitaku- DM ili kuona namna tunavyoweza kuiambia jamii kwa kile anachojihusisha nacho.

(Kwa watakaokuwa Dar es Salaam nitawapa kipaumbele cha kwanza)

Karibu
kuna mama mmoja kitaa uwa anafanya mambo ujasiliamali naona sio mchoyo wa elimu maana unaweza kuta wamama na wadada wengi hapo kwake anawafundisha bure tu tu sahivi mtaani kwetu kumejaa vitu vya kisajiliamali sabuni, sijui pilipili mabatiki na n.k sasa sijui wanamkumbukaga huyo mama maana si mwenye uchumi huo ni wakawaida sana..
 
naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe ila kama kuna mtu yeyote ambaye anajihusisha na kazi ambayo unaamini ni ya kipekee
Mkuu, hakuna jambo la kipekee chini ya jua. Lolote linalofanywa ujue kuna watu waliwahi kulifanya hapo kabla.

Labda ungeanza kwa kutoa maana halisi ya huo upekee unaomaanisha wewe.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom