Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,406
- 14,169
Habari watanzania pole na makodi tunayobebeshwa.
Tunaweka mlio kwani tukiweka si za kwetu mbona nyie mnaenda kuvinjari na akina polish kwa Kodi zetu.
Nisiwachoshe baada ya opener ya Uzi wetu direct kwa lengo.
Hapa chini nimeweka gharama ya kutuma hela na kuitoa ikiwemo na mshikamano
Ukicheki hapo gharama ya mtu mpaka aipate alfu 10 jamani ni 2500 ivi.
So Kati ya chini ya alfu 10 unaifanya iwe 1500 , kuanzia 20 mpaka 30k unafanya ww 2000 flat rate. Tuma mtu aipokee huko alipo Kama kijijini kwenu weka hata mama yako wanachukulia kwake wewe hapa mjini wanakupa iyo hela. Kama una duka huko kijijini fanya hiyo biashara na mtu wa mjini. 40k mpaka laki wewe fanya flat rate ya 3000 basi urahishe maisha.kama ukipata ubia na watu wa ofisi za magari poa kazi kwako.
Ivi mfano ukipata miamala 50 kwa siku uko wapi kwa siku wajameni.
Ni fursa kwa graduates.
Kama mhitimu mnafahamiana anakaa Arusha Moshi mwanza dar mbeya ni mwendo wa kupiga hela.