Mshikamano: BAWACHA Kanda ya Pwani Wamtembelea Mke wa Freeman Mbowe nyumbani kwake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,627
218,056
Hivi ndivyo walivyofanya wanawake wa CHADEMA Kanda ya Pwani , ambapo Jana Jumamosi ya 30/10/2021 viongozi hao wa BAWACHA kanda ya Pwani walifika kwenye Makazi ya Freeman Mbowe Mkoani Dar es Salaam kwa lengo la kumfariji Mama huyo pamoja na familia yake.

Ikumbukwe kwamba Mwamba Freeman Mbowe na wenzake watatu wanashitakiwa kwa Ugaidi wa kupanga njama za kukata miti na kuiweka barabarani kutoka DSM hadi Mbeya , kupanga kulipua vituo vya mafuta na kuua viongozi wa serikali .

Gharama za Ugaidi huo ilikuwa Kitita kizito cha Shilingi za Tanzania Laki 6

BAWACHA_Pwani_Jana_tarehe_30_October_2021_walifika_Nyumbani__Kwa_Mh._Freeman_Aikael_Mbowe_kump...jpg
 
Hivi ndivyo walivyofanya wanawake wa CHADEMA Kanda ya Pwani , ambapo Jana Jumamosi ya 30/10/2021 viongozi hao wa BAWACHA kanda ya Pwani walifika kwenye Makazi ya Freeman Mbowe Mkoani Dar es Salaam kwa lengo la kumfariji Mama huyo pamoja na familia yake.

Basi polisi na ccm roho zinawauma wakiona hivi! Yaani wanatamani kama wakawavamie hivi!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom