Mshikaji!

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
nahitaji binti,umri miaka 40 - 45,alieachika au ambae hajaolewa,awe anajitegemea.hana UKIMWI Wala GONJWA LOLOTE LA KUAMBUKIZA,asiwe sex maniac(sijui kwa kiswahili nisemeje),asiwe mlevi wa chochote.kama unajiona una sifa hizo hapo juu ni PM.
 
Unahitaji binti wa 40-45 ? hapo sema unahitaji jimama lakukulea a.k.a sugarmummy.
 
We kachumbari unataka kulelewa hapa mjini ? usilemae hivyo mtoto wa kiume mwishowe atatokea jibaba akulee. :A S thumbs_down:
 
haya majimama yana siri gani....hebu tujuzeni jamani....kila siku jimama latafutwa humu.......kulikoni
 
heheh hicho kipengele cha asiwe sex maniac kimenichekesha kweli,
wanaume wote wanaombea wapate mwanamke wa hivi..wewe naona unaombea hali iwe tofauti..
something is wrong somewhere...
 
haya majimama yana siri gani....hebu tujuzeni jamani....kila siku jimama latafutwa humu.......kulikoni

Preta hebu angalia kipindi cha XL-live channel ten ndio utajua wadogo zetu wameharibikiwa kuna zile live msg zinapita chini ya screen kila baada ya dakika kuna kijana anatuma namba ya simu anahitaji jimama la kumlea na liwe na hela.
 
nahitaji binti,umri miaka 40 - 45,alieachika au ambae hajaolewa,awe anajitegemea.hana ukimwi wala gonjwa lolote la kuambukiza,asiwe sex maniac(sijui kwa kiswahili nisemeje),asiwe mlevi wa chochote.kama unajiona una sifa hizo hapo juu ni pm.
kwa sharti zako...nna mashaka... Na uwajibikaji wako katika kutimiza 'ze nidful'
 
Kama unafuatilia vizuri sex attitudes za wamama na umri wao, 40+ ni sex maniac kwa lugha nyingine. Wanapenda mchezo na ndio huwa kumekucha. Waulize wenzako watakwambia. Ukishindwa game wanatafuta Serengeti Boys. Ndio maana yake 40+. Sasa ama urudi nyuma kidogo umri ama zaidi kuanzia 55+. Haya! Kumekucha na haya nayo!
 
heheh hicho kipengele cha asiwe sex maniac kimenichekesha kweli,
wanaume wote wanaombea wapate mwanamke wa hivi..wewe naona unaombea hali iwe tofauti..
something is wrong somewhere...

@ Fab,
nahitaji wa kuchangamsha changamsha DAMU tuu!,hata ikiwa mara 1 kwa wiki lakini kiu yake na yangu inakatika.
 
40-45 sio ji bibi bana.....ukute kajiweka poa.....we!

Waambie hao....! tatizo wao ni vibinti hata service lazima complain, sasa shida juu ya nini? wakati wapo watu wanatoa huduma super bila ooh sijui nimepitiliza siku zangu? kwa hivi vijibinti vya miaka 40+ huwezi sikia hilooo!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom