Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
hivi ni nani anaechezesha ile chart ya forex?
Ngumu sana kukuelesha na kuelewa kupitia hapa, ila kifupi ni mambo ya kichumi zaidi, Exchange rate ya pesa inabadilika kutokana na force of demand na supply ya pesa husika, mfano USDCHF, hivyo kupanda na kushuka kwa graph kunasababishwa na hizo force, so hakuna mtu aliejificha sehem nakuanza kulichora lile graph mkuu,
 
Mkuu kwenye Forex hakuna principal ya demand and supply .. Unaona kinachotokea kwa usdchf?? Niambie principle hiyo inafanya vipi kazi ?
 
Sina shida na hii biashara, na si kwamba mimi sihitaji, ukweli ni kwamba nahitaji sana lakini tatizo nimeshindwa kushuhudia bila shaka kuanzia mitandaoni mpaka kwa mtu ninayemfahamu niliyetegemea angenifumbua

Huwa najiuliza, Mtanzania huyu huyu asiyepitwa na fursa anahitaji nguvu kubwa kiasi gani kujua ishu zinazoleta pesa?

Mtanzania huyu huyu ni wa kushindwa kweli kuuona utajiri kwenye Forex?

Mnasema lazima upate elimu ya Forex ama sivyo utaangukia pua, Mtanzania ninayemfahamu hata biashara ingekuwa ya kilatini hashindwi

Kuna michezo na biashara nyingi za bahati nasibu hazikuhitaji nguvu watz kujua kuna hela, hata wasiojua mpira wanabett na wanapata hela

Hata mimi nisiyebett haihitaji nguvu kunishawishi maana naona watu wakipiga pesa ninaowafahamu na nisiowafahamu

Forex imeshindwa kunishawishi kuanzia kwa watu naowafahamu na nisiowafahamu

Naletewa maneno maneno tu

Jamaa yangu ana maneno kama ya humu anasema Forex ukiingia kichwa kichwa lazima upigwe

Namuuliza yeye kapiga pesa ngapi anazunguka zunguka tu

Mbona wa betting ukimuuliza anakuonyesha hela aliyokula

Narudia tena sina shida na Forex kama unapiga pesa hata mimi natamani kupiga, ni mjinga tu asiyependa pesa

Ni nyinyi wadau wake ndio mnaleta mashaka haya
mkuu kunywa maji kwanza upunguze munkari forex sio majibu ya siku moja kubadilisha maisha ni mwendo wa muda mrefu kidg mpka kuwa financially stable.
 
Pole sana mkuu, endelea kusoma vitabu utaelewa siku moja, ndo maana nikasema siwezi kuelekeza na kuelewa kupitia hapa
Kijana nimekupa assignment moja kuhusu pair ya usdchf ambayo imekuwa na strong for couple of months now uioanishe na hiyo ptiniciple yako ila umeishia kuniambia nisome vitabu ... This is the problem with Tanzanian youths mambo ya kuelekezana na kupeana elimu na uzoefu tunaishia kupeana majivuno
 
hivi mkuu kwanini imekua vilee imepanda imepanda mrefu au ni baadhi ya taarifa za uchumi
 
Ndio maana nikataka kufahamu hiyo principal ya Demand & Supply inaelezea nini hiyo situation .. Maana kama ni kuwa overbought imeshakuwa overbought mpaka basi lakini haijashuka kinyume na hiyo principal.. Ni vitu vya kupeana na kuelekezana tu.. Labda Mimi uelewa wangu hauko sahihi
 
ndo nahitaji majibu mkuu kwanini imekua overbought
 
Sina shida na hii biashara, na si kwamba mimi sihitaji, ukweli ni kwamba nahitaji sana lakini tatizo nimeshindwa kushuhudia bila shaka kuanzia mitandaoni mpaka kwa mtu ninayemfahamu niliyetegemea angenifumbua

Huwa najiuliza, Mtanzania huyu huyu asiyepitwa na fursa anahitaji nguvu kubwa kiasi gani kujua ishu zinazoleta pesa?

Mtanzania huyu huyu ni wa kushindwa kweli kuuona utajiri kwenye Forex?

Mnasema lazima upate elimu ya Forex ama sivyo utaangukia pua, Mtanzania ninayemfahamu hata biashara ingekuwa ya kilatini hashindwi

Kuna michezo na biashara nyingi za bahati nasibu hazikuhitaji nguvu watz kujua kuna hela, hata wasiojua mpira wanabett na wanapata hela

Hata mimi nisiyebett haihitaji nguvu kunishawishi maana naona watu wakipiga pesa ninaowafahamu na nisiowafahamu

Forex imeshindwa kunishawishi kuanzia kwa watu naowafahamu na nisiowafahamu

Naletewa maneno maneno tu

Jamaa yangu ana maneno kama ya humu anasema Forex ukiingia kichwa kichwa lazima upigwe

Namuuliza yeye kapiga pesa ngapi anazunguka zunguka tu

Mbona wa betting ukimuuliza anakuonyesha hela aliyokula

Narudia tena sina shida na Forex kama unapiga pesa hata mimi natamani kupiga, ni mjinga tu asiyependa pesa

Ni nyinyi wadau wake ndio mnaleta mashaka haya
Acha kufuatilia forex hutoiweza kwa sababu hujadhamiria kuijua.
 
ndo nahitaji majibu mkuu kwanini imekua overbought
Ndio maana nikataka kufahamu hiyo principal ya Demand & Supply inaelezea nini hiyo situation .. Maana kama ni kuwa overbought imeshakuwa overbought mpaka basi lakini haijashuka kinyume na hiyo principal.. Ni vitu vya kupeana na kuelekezana tu.. Labda Mimi uelewa wangu hauko sahihi
hivi mkuu kwanini imekua vilee imepanda imepanda mrefu au ni baadhi ya taarifa za uchumi
Kilichofanya ipande ni baada ya benk kuu ya uswis kukataa kubadilisha interest rate, hali iliyopelekea CHF kupoteza nguvu dhidi ya dola kama sijakosea ila..

It has to do with economic news.
 
na wewe mkuu sio muwazi mama Debora amekuomba umwambie una kiasi gani kwa lot size kama zile umebaki unaruka ruka kama sungura unaogopa nini hasa
 
WALIO TAYARI
-Natoa mafunzo ya forex kwa mbinu za hidden world
-Account Management
Mahitaji ya Account Management
login details na copy za ID zako Nida/Passport/Driving License/Kura zenye majina sawa na login details
Forex Training TZS 450,000/- au $200
Account Management Nachukuwa 45%
Kama kwako ni kinyume na imani haikuhusu hii
Just PM for the service
 
Status
Not open for further replies.
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom