rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,472
- 41,865
Kazi nzuriiiNiko nangoja mlio wa meseji ya simbanking nikajipongeze kidogo!!
Kazi nzuriiiNiko nangoja mlio wa meseji ya simbanking nikajipongeze kidogo!!
Niko nangoja mlio wa meseji ya simbanking nikajipongeze kidogo!!
Tuna withdraw almost twice a week, zilizofika ni za juzi. Hizi ni za leo! Tena nnahofia zikafika next week maana wekend kwa wenzetu ishaanza!Cheki ulivo fala tunkunya!
Mwanzo umesema umesha withdraw uko njiani kwenda nmb bank, sasa hivi bado unasubiri mlio wa simbaking!!!
Sina shida na hii biashara, na si kwamba mimi sihitaji, ukweli ni kwamba nahitaji sana lakini tatizo nimeshindwa kushuhudia bila shaka kuanzia mitandaoni mpaka kwa mtu ninayemfahamu niliyetegemea angenifumbuaA long as huo uuni wa forex unanipa kipato wala sina shida!!
Sina haja ya ku prove zaidi ya hapo maana mpaka hapo hujaamini basi hutokaa uamini.
BTW nimepokea meseji ya simbank mkwanja wangu umewasili bank!!
Ngoja nikauchomoe
Unaona sasaCheki ulivo fala tunkunya!
Mwanzo umesema umesha withdraw uko njiani kwenda nmb bank, sasa hivi bado unasubiri mlio wa simbaking!!!
Yawezekana ulipigwa kwa kukurupuka maana laki 8 ni apprx $350 kwa rate za sasa kwa pesa hyo kama uliingiza yote kwa pamoja yawezekana ukujua ata nn maana ya Risk management coz kama ungekuwa makini na pesa yako usingepigwa hvyo na inawezekana forex uijui ila unaisikia tu kwa watu. Nyie ndio mnaanza kufanya trade na kuanza kuweka LOT SIZE ya 0.5 au 1 kwa tamaa ya kupata pesa nyingi alafu unajikuta umeloose. No easy business in this world usipotumia pesa utatumia nguvu, muda, akili nk.Nikikumbuka vortex walivopiga laki 8 zangu daah naonea huruma hawa wanaojiunga cjui forex mara ai global mara cjui ujinga gn
Zero Iq nakuelewa sana, ila mkuu? we ni mrengo wa kushoto au kuria?Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona AFFILIATE marketing inaingiza pesa nyingi sana na Mtanzania huyu huyu wanaojua ni 0.1% tu na Mtanzania huyu huyu alikuwa anasema ADSENSE ni uongo lakini sasa hivi baada ya kusikia watu kadhaa wanapiga pesa kila mmoja akaanza kufungua BLOG.Sina shida na hii biashara, na si kwamba mimi sihitaji, ukweli ni kwamba nahitaji sana lakini tatizo nimeshindwa kushuhudia bila shaka kuanzia mitandaoni mpaka kwa mtu ninayemfahamu niliyetegemea angenifumbua
Huwa najiuliza, Mtanzania huyu huyu asiyepitwa na fursa anahitaji nguvu kubwa kiasi gani kujua ishu zinazoleta pesa?
Mtanzania huyu huyu ni wa kushindwa kweli kuuona utajiri kwenye Forex?
Mnasema lazima upate elimu ya Forex ama sivyo utaangukia pua, Mtanzania ninayemfahamu hata biashara ingekuwa ya kilatini hashindwi
Kuna michezo na biashara nyingi za bahati nasibu hazikuhitaji nguvu watz kujua kuna hela, hata wasiojua mpira wanabett na wanapata hela
Hata mimi nisiyebett haihitaji nguvu kunishawishi maana naona watu wakipiga pesa ninaowafahamu na nisiowafahamu
Forex imeshindwa kunishawishi kuanzia kwa watu naowafahamu na nisiowafahamu
Naletewa maneno maneno tu
Jamaa yangu ana maneno kama ya humu anasema Forex ukiingia kichwa kichwa lazima upigwe
Namuuliza yeye kapiga pesa ngapi anazunguka zunguka tu
Mbona wa betting ukimuuliza anakuonyesha hela aliyokula
Narudia tena sina shida na Forex kama unapiga pesa hata mimi natamani kupiga, ni mjinga tu asiyependa pesa
Ni nyinyi wadau wake ndio mnaleta mashaka haya
Tatizo wengi source zao ni humu humu jamii forum, fb, instagram na mitaani so wanaokutana nao ni ndugu zao ambao ni the same class so how can you know the real world wanaendeleaje? Labda niwasaie kwa wasiojua Kuna forum mbili kubwa kwa watu wanaotaka kuEARN MONEY ONLINE ukiwa unazipitia mara kwa mara itakusaidia kupata new ideas.. WORRIOR FORUM na QUORA na wataalam wanaweza kuADD wanazotumia.Sielewi kwa nini watu hawaelewi kuwa FOREX ni serious business. Watu wanacomment kama vile forex ni jambo la mzaha, forex ni business ambayo inaendesha dunia.
Nina jamaa wangu jana nmetoka kumsindikiza kulipia office yake posta kwa ajili ya kufanya mishe zake za trading kama full time job alafu nashangaa wengine wanaidharau!! LIFE is Dynamic there is +ve and -ve , left and right it's your time to choose your position.Napenda watu wanaoidharau FOREX inayoendesha maisha yangu ya sasa, maana matajiri tutaongezeka mitaani alafu tukose watu wakubeba maguni, endeleeni kuiona hivyo hivyo ili muendelee kubeba mizigo yeti,........Mimi nipo TEMPLER mwanzo mwisho, mda wote utaniona natupia tuu trade zangu huku maisha yskisonga kirahisiiiiii
Sijui hata nikusaidiaje, maana kila kitu nimeweka hapa na kinajionyesha lakin bado huamini.Sina shida na hii biashara, na si kwamba mimi sihitaji, ukweli ni kwamba nahitaji sana lakini tatizo nimeshindwa kushuhudia bila shaka kuanzia mitandaoni mpaka kwa mtu ninayemfahamu niliyetegemea angenifumbua
Huwa najiuliza, Mtanzania huyu huyu asiyepitwa na fursa anahitaji nguvu kubwa kiasi gani kujua ishu zinazoleta pesa?
Mtanzania huyu huyu ni wa kushindwa kweli kuuona utajiri kwenye Forex?
Mnasema lazima upate elimu ya Forex ama sivyo utaangukia pua, Mtanzania ninayemfahamu hata biashara ingekuwa ya kilatini hashindwi
Kuna michezo na biashara nyingi za bahati nasibu hazikuhitaji nguvu watz kujua kuna hela, hata wasiojua mpira wanabett na wanapata hela
Hata mimi nisiyebett haihitaji nguvu kunishawishi maana naona watu wakipiga pesa ninaowafahamu na nisiowafahamu
Forex imeshindwa kunishawishi kuanzia kwa watu naowafahamu na nisiowafahamu
Naletewa maneno maneno tu
Jamaa yangu ana maneno kama ya humu anasema Forex ukiingia kichwa kichwa lazima upigwe
Namuuliza yeye kapiga pesa ngapi anazunguka zunguka tu
Mbona wa betting ukimuuliza anakuonyesha hela aliyokula
Narudia tena sina shida na Forex kama unapiga pesa hata mimi natamani kupiga, ni mjinga tu asiyependa pesa
Ni nyinyi wadau wake ndio mnaleta mashaka haya
Hahahahaha karibu tupige Volatility indices (v75,50, 100)... Ni masaa 24 kwa siku 7.// 24/7Weekend kwangu ni kero kabisa sikuhizi maana si trade, siku za kazi kwangu ni furaha maana ni kuingiza hela za kigeni nchini mwangu