LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,401
- 3,634
Umemiss quote ONTARIO, hakusema kwamba hta benki hawaijui hii biashara ya forex. Alichosema ni kwamba benki zinafanya hii biashara ya forex lakini kuna wafanyakazi wengi tu wa benki ambao hawaijui au hawajui kama benki zinafanya hii biashara. HILO NI KWELI SI KILA MFAKAZI WA BENKI ANAJUA KILA KITU KINACHOENDELEA NDANI YA BENKI ZIKIWEMO NA HASARA AMBAZO BENKI ZINAPATA. KUNA MAMBO MENGINE YA KIBENKI SIYO YA KU EXPOSE HOVYO HOVYO KWA KILA MFANYAKAZI WA BENKI.Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Sent using Jamii Forums mobile app