42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,811
Hata kwenye mataifa makubwa wapo wengi tu wasioijua.Mimi mwenyewe na trade in forex lakini sina muda wa kumshawishi mtu. Anayetaka aifanye, hasiyeitaka aache
Hakuna anayeipromote ila sisi tukikaa na kuanza kujadili mada zetu nyie mnakuja na hoja zenu uchwara.
Malalamiko ni kwa watu wanaoingia kichwakichwa bila kufanya research yoyote.
Mwisbo wa yote kama jamaa yako .anakijua anachokifanya basi kuna siku utakuja kuyaonea aibu haya uliyoyaandika humu. Unless kama anagamble, maana kuna very thin line kati ya kufanya forex na kugamble
Sent using Jamii Forums mobile app