Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Mkuu kama unataka kufanya biashara yoyote ( Si tu Forex ) Kwasababu umesikia mtu ametengeza kiasi kadhaa Kwa wiki au mwezi upo katika dalili za awali za kupata hasara katika biashara hiyo kabla ya kuanza biashara.

Sijawahi kusikia Mfanyabiashara yoyote duniani aliefanikiwa alijiingiza kwenye biashara kwasababu za kuvutiwa na kiwango cha Pesa alichosikia kimetengenezwa na MTU flani. Ukiingia kwenye biashara yoyote kwa mantiki hiyo lazima ulie mwisho wa siku. Unakumbuka waliovamia biashara ya matikiti, Mayai ya kwale n.k.. Kawaulize sasa hivi kilichowakuta. Wengine waliambiwa heka moja ya matikiti unaweza kupata million 30.

Hata wale walioenda pale kWa Ontario nilijua kuanzia mwanzo wengi watapata hasara. Kwasababu wengi walijiunga na forex kwa vigezo kama vyako.

NB: Nakuomba utafute maarifa mitandaoni. Kama ni mvivu wa kusoma itumie YouTube vizuri. Hakuna ambacho hakipo YouTube. Mimi asilimia zaidi ya 80 ya knowledge ya Forex nimejifunza mwenyewe kwa msaada wa YouTube na Vitabu. Kutoka YouTube kuna MTU anaitwa Adam Khoo huyu ndio kanisaidia sana sana. Nadhani ni RAIA wa Indonesia. Ana video yake kule ya forex introduction lazima uelewe.

NB: Forex sio biashara ya kupata biashara haraka kama unavyodhani. Tembelea tutorial zote za waliofanikiwa lazima uambiwe hiki. Kufanikiwa haraka ni wewe tu na knowledge yako. Kuna Jamaa namfahamu mwezi December kaweka capital ya USD 1000 na Leo tunavyozungumza ana USD 12,000... Ila kuna wengine kwa kiasi hicho hicho mpaka sasa wameshachoma account. Nadhani kwa huo mfano utakuwa umejifunza kitu.

Lastly usiingie kwenye forex kwa kushawishiwa na posts za profits. Ingia kwenye biashara kwa kuelewa biashara ilivyo. Hizo Pesa ni matokeo ya juhudi zako tu.
Amini nakwambia siku ukija kujua real Forex ilivyo, utajikataa mwenyewe. Achana na hii ya WALIMU uchwara wa kufundishana kila siku support & resistance, etc.Jifue mwenyewe halafu ulete mrejesho hapa.

Have a good Blessed Sunday.
Regards.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa naangalia nani kapata nini ningeshaingia. Ila nina vigezo vyangu. Let me tell you, nikiona mtu successful namuuliza WHAT DO YOU DO AND HOW DO YOU DO IT? Then I go to work. $1000 Ku raise to $12,000 sio ajabu. I raised $5000 to over $150,000 in less than 3yrs.
 
Sasa nitajuaje kuwa biashara inalipa au hailipi ? Wanaofanya ni watu na kupitia kwao ndio nitajua inalipa au hailipi. Na Forex sio kama biashara ya mkaa kwamba utatembea physically ukaone stoo ya mtu. Ningekuwa nawehuka na screenshots ningeshaingia, ndio maana nimeandika Ontario alipost $18,000 nikafanya uchunguzi wangu sikuingia tu kichwa kichwa kisa nimeona $18,000. Msichukulie challenge za watu negatively, wengine wana dig information that way.
Oh kumbe nimechukulia negatively nilijua nakupa uzoefu wangu, naomba yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa naangalia nani kapata nini ningeshaingia. Ila nina vigezo vyangu. Let me tell you, nikiona mtu successful namuuliza WHAT DO YOU DO AND HOW DO YOU DO IT? Then I go to work. $1000 Ku raise to $12,000 sio ajabu. I raised $5000 to over $150,000 in less than 3yrs.
You raised 5000 to 150,000usd in less than 3 yrs but the colleague raised 1000$ in less than 30 days.

Daaah natamani niendelee kuandika ila nimechoka. Naishia hapa. Ila nakuacha na hii video ya forex Kwa beginners kutoka kwa mtaalamu wangu Adam Khoo.

Barikiwa.

Aisee kumbe we ni mdeadly katika hio mi graph. Hongera sana boss wacha si tulime matikiti tu.
 
You raised 5000 to 150,000usd in less than 3 yrs but the colleague raised 1000$ in less than 30 days.

Daaah natamani niendelee kuandika ila nimechoka. Naishia hapa. Ila nakuacha na hii video ya forex Kwa beginners kutoka kwa mtaalamu wangu Adam Khoo.

Barikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

How much did you raise? Coz you posted a professional and I'm not a pro in what I do nimganga njaa tu
 
Majibu yenu ni as if watu wanaponda tu, wengine wanatafuta info.
Hivi pacha mimi nimesema kipi kibaya hapo? Mimi nimekwambia kile ninachokijua na hiyo kila ukisoma kitabu cha forex lazima ukutane nayo, trading psychology na hata kama ikitokea ukaja kufanya utajua kuwa nilichokuwa nakwambia ni facts wala sio mihemko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But looks like you managed to make a $5000 be a 150 Grand fortune from the thing called Forex and thats strictly 3 good years!
Nimekuza mtaji from $5000 to $150,000. Huo ni mtaji ninaofanyia kazi at anytime T. Kuhusu how much I made in those 3 years ni zaidi ya 700m. Ukiaka naweza kukutumia TRA proof PM. Sasa kwanini nicheze kamari ya $100/200?

I don't do Forex
 
You talk a good game man, drop that sample kwa PM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom