Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Forex watu watrade hata kwenye daladala kama jana kuna sister nilimcheki kwenye daladala sema nikasita kumongelesha asije nichamba na kusema nataka kumpola mapips na malots size bure sema alikua anatabasam sana huenda alikua anapinga pesa sana hahhaahhahhaha acha nikomae na demo
 
Forex watu watrade hata kwenye daladala kama jana kuna sister nilimcheki kwenye daladala sema nikasita kumongelesha asije nichamba na kusema nataka kumpola mapips na malots size bure sema alikua anatabasam sana huenda alikua anapinga pesa sana hahhaahhahhaha acha nikomae na demo
Anzaaa kutrade mzee demo unapotezaa mudaa...!!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah anafananisha forex na bitclub

Huyo jamaa ni bumbulaaz ndomaana kapigwa

Ndo maana anaona forex upuuzi .

Hahahah

Nina Fanya forex geto kwangu ni Mimi na broker wangu ambaye yuko UK hakuna mbongo wala nani hapo kati

Mimi,broker na soko(chart zangu)

Sasa nani atanipiga

RAIA acheni ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaahaaaaa,kwa hiyo wewe mkuu unapigwa na wa mbele na sio wa huku bongo wanaokutangaza?
 
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
SUCCESS COMES AFTER SUCRIFICE NDUGU! JEFF BEZOS ALIACHA KAZI KAMA MENEJA WA KAMPUNI LICHA KUONGEZW MSHAHARA, NA LEO ANATAWALA UCHUMU WA DUNIA BILA MASHARTI YA MTU. JIFUNZE KUTOKA KWAKE RAFIKI YAKO, USUMCHEKE
 
Wazee wakufungua multiple ids halafu kwenye uzi wao wanajazana kibao " I'd hii iki comment hii inatetea hoja" .... wewe ukikaa huelewi kumbe wanakuchota akili .. zile I'ds zote zina milikiwa na mtu mmoja haha ....

Waweza kuona uzi umejaa I'd karibia 50 zinatetea kuwa forex ni real kumbe ids hizo zina milikiwa na watu wa tatu tu ..wenye simu tofauti tofauti .... Daah Ontario noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii BITCOIN ilimliza ndugu yangu mwaka Jana kaingiza million yake asubir miezi minne ile ya kuvuna,longolongo zikaanza Mara kuna tatizo linshughulikiwa Mara malipo yamepunguzwa,pesa zikaenda hakupata chochote ,saivi hataki kusikia hizi habari
Vijana wa siku hizi wanavutiwa zaidi na taarifa za uongo hata kama zina madhara makubwa mbeleni.
 
Hamna mzee waulize vizuri waeka screenshot za blue(za kula) watakwambia wamechoma sana akaunt kabla ya kuanza kufanikiwa na kudownload madolali mengi kwa siku.

Wanakwambia forex inahitaji msuli na forex is not for everyone. Hizi kamali acha tu.
Who told you forex ni kamali??


 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom