Mshenzi wewe,ukome kunifuatafuata,tena futa na namba yangu!!

duh, ujana maji ya moto, na mtoto akililia wembe kakua huyo. Ukimnyima atatumia hata mkasi.
 
Wasichana wengine bana. ameshindwa kabisa kutulia na kutafuta mbinu ya kukurudisha kundini,maana with time kma ulimpenda kweli ungemtokea tu, sasa atajuta maana kibao kitamgeukia yeye
 
Mie ningekua wewe ningesema basi,sababu mpaka ashibe mwengine ndio uitwe wewe! unakasoro gani au hujiamini kama wako kuliko yeye? asikufanye spare tyre wake bure...
 
mkuu nenda msikilize, mi naamini mapenzi yanajengwa,

1.kuna uwezekano kipindi kile kuna mtu alimwingiza mkenge kuwa labda wangekuwa pamoja, jamaa kalala mbele sasa ndo maana anajaribu kuangalia njia nyingine.
2.Kwa wakati ule alikuwa kwenye frastrution ndo maana alikujibu kwa ukali( Ila Sio ustaarabu)
3. Wakati huo ulikikuwa unamfukuzia kwa kas ya ajabu( high speed) ulikuwa unataka kufanikisha fasta ndo maana akachomoa.
4. Za kuambiwa changanya na zako
 
Duh!kwanza amekutukana,then akakuambia ufute no.yake.istoshe 4 months have already pased away.ww achana naye mkuu,anakupotezea tyme yako huyo lady.
 
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?

Hizi biashara za kimjini mjini tu hakuna lolote. Wizi mtupu!
 
Gonga copy ila sio n'gwadu kwa n'gwadu bz inaonyesha she is plan B type of chick..
 
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?

jaribu kupitia mawazo ya wanawake walivyochangia.kuna kitu utagundua then changanya na zako utapata solution.

huyo keshafika kikomo alipotegemea pamekata kamba so kaona kwako kwa kuponea/
anyway chapa kimtindo atakuelewa tu.
 
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?

.....inategemea lile tusi la ushenzi wako na umkome lilikugusa vipi maishani mwako.
siku zote thamani yako ni weye mwenyewe unayetakiwa ujitambue, na uisimamie...
Ukijikubalisha uthamani wa kandambili za chooni, mwisho mlango wa chumbani pia sawa tu...
ndiyo thamani yako hiyo...
 
na yeye mtukane kwanza then kaa siku sita harafu umwambie hiv excuse me dear nilikuwa na tafuta pesa ya kulipa kodi ya nyumba ndo naana nilikutukana.
 
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?
sasa na wewe hujioni kuwa unatatizo?. hivi unampomuanika hapa itakusaidia nini? wakati unatukanwa hukusema , leo unaitwa unatangaza hapa, ukipewa ushauri kuwa nenda ukutane nae, na akakushawishi ukakubali utarudi kutueleza kuwa umeshapata huo "upangaji ndani ya moyo" wa dada mrembo?
 
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?

Kama humhitaji na akikumbushia tena kwa txt wewe mjibu "Mshenzi wewe, ukome kunifuatafuata tena futa namba yangu" tena mpigie simu live. Ila kama unamhitaji panga siku mkutane na muyaweke sawa.
 
wanaume kweli mnakazi doooo!

Ndiyo uanaume huo. Hizo ni ajali kazini tu. Mimi huwa ninawashangaa wanaodai fursa sawa kwa wote hawajui adha tunayopitia kuwapata wenzi wetu. Nina uhakika mwanadada akijibiwa hivyo na wanaumw wawili atapata msongo wa nguvu wa mawazo.
 
Ulijuaje msg inatoka kwake na yeye alikwambia ufute namba zake kabisa? Kitendo cha wewe kutukanwa na kuamriwa ufute namba zake na hukufanya hivyo kinanipa wakati mgumu mimi kuamini kwamba upo tayari kupokea ushauri wa kuachana naye. Anyway naunga mkono hoja za wale wanaosema miezi minne ni mingi sana kwa yeye kujua kama alifanya kosa na aje akuombe msamaha. Kama ulikuwa una mpango wa kuoa inabidi uwe makini naye sana katika uhusiano wenu ila kama ilikuwa unataka short time unaweza kuamua mwenyewe.
 
hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

Wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?

nyie ndiyo mnaoshusha thamani ya udbs na udsm kwa ujumla. Kila siku posts zako ni mapenzi tu hapa. Hivi, ina maana hiyo miezi 3 uliyobakiza udbs bado unakalia uzinzi tu. Semester jana umetoka na b plain nyingi tu na b+ za kuokoteza kwasababu ya muda wako unaotumia hapa jf na mambo ya wanawake. Wewe kwa umri wako na course unayofanya (b.com-finance) unapaswa kuwa serious na masomo, kwani soko la ajira au kujiajiri si rahisi kama unavyojidanganya. Kumbuka kwamba hata internship program ya udbs huwezi kupata kwa tabia zako hizi. Kama una sikio na uelewa, chukua hatua kwasababu future yako iko ndani ya uwezo wako na muda wa kuamua ndiyo huu, kwani muda ukipita, kamwe haurudi. kila la kheri ktk masomo yako na si katika uzinzi.
 
Back
Top Bottom