Elections 2010 Mshaurini Slaa Agombee Uspika

mwanadewa

Member
Jul 16, 2010
39
5
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?
 
Rudia tena facts zako za 'kusikia', labda umekosea kwa kuwa upinzani ni chadema.
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

Wewe ni ovyo!
 
kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa ccm, kama hivyo ni kweli basi mshaurini slaa agombee uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

crappppp tupa kule kwenye dustbin
 
Get out of here! shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit
 
Masikio yako si Mazima hebu Pitia Muhimbili kitengo cha ENT najua bado uko ktk foleni hapo Magomeni
 
Jamani huyu mgonjwa si bora afe tu? hapo yupo njiani tangua saa 11 alfajiri na hana hata habari kuwa hayo ni mateso....haki ya mungu huyu hawezi kuwa ni mtanzania, may be mpita njia. Moderator huyu mtu apewe Ban please asiendelee kuchafua watu.
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

Acha kurupuka wewe...wewe unadhani sie ni type zako?? Chadema ni chama makini...hutuamuliwi na nyie mafisadi.. hata kama mchukue u-spika bado cha moto mtakiona... nadhani umejua vichwa vilivyotinga mjengoni...hata awe spika wa aina gani, hakuna kuburuzwa tena kwenye bunge hili, mlizoea, pamoja na wingi wenu, tumejipanga kwani vichwa vyetu vitatu ni sawa na wabunge wenu 150, kwa hiyo hatuna shaka na nyie kabisa..kazi mnayo..mmejibebea wabunge vilaza ambao kazi yao ni kwenda kungoja posho na kulala bungeni subirini muone moto!
 
Una ugojwa wa matende??
 
Na wengine kwenda ku ji prostitute tu huko bungeni, ndo maana walikuwa wanahangaikia na nyumba ndogo zao zishinde!!! wapuuzi sana hawa!
 
Ni ushauri tuu nimeutoa, kama mnahisi yeye anafaa kwa uraisi tuu, basi asubiri 2015 ajaribu tena
 
Huyo ni wakusamehewa maana si mchezo kuwa kwenye basi saa hizi anawaza kondacta ametukana nini na sijui kama kamsikiliza kwa makelele hajui analosema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom