Mshauri wa Rais kutoka mtaani: JPM zingatia haya utatufikisha mbali

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,510
2,000
Shikamoo Rais Wangu Mpendwa,

Nimejipa cheo kisicho rasmi kama mshauri wako na kama mpiga kura wako niliekaa kwa zaidi ya masaa 5 nasubiri kukupigia kura na wajibu na haki ya kukushauri. Kawasifu kangu sio kamaana sana lakini nimepata bahati ya kusoma sayansi ya siasa udsm so i would confidently say naelewa nachotaka kukisema hapa kwa mwanga niliopata kidogo.

1: Siasa na mahusiano ya kimataifa
Mh. Rais nafahamu na naamini bila shaka una dhamira ya dhati kabisa kulipeleka hili taifa mbele, kuliinua kiuchumi lakini mahusiano ya kimataifa yanaweza kukukwamisha. Sisi kama taifa bado ni taifa tegemezi, hatujafikia kujitegemea ni muhimu kujeza na siasa na mahusiano ya kimataifa vizuri. Kwa mfano suala la mashoga, ni kweli kama taifa hatuna sababu ya kuunga mkono ushoga lakini ni muhimu sana kuwa na busara ya kulipuuza. Na hapa na maana ya kutokulipa uzito kitaifa kwa wewe binafsi au wateule wako kuliongelea. Mh. Mashoga wapo na wataendelea kuwepo kwasababu dhambi zipo na haziwezi kuisha mpaka siku Mungu atakapokuja kuihukumu hii dunia, therefore hawa watu " mashoga" watapambana na mola wao wenyewe. Hata ufanye juhudi gani hauwezi ondoa ushoga, utaondolewa na Mungu mwenyewe, wewe pambana kulinda national interests. In other words, you cannot jeopardize national interests over irrelevant issue.
2. Vyama vya siasa na siasa za ndani ya nchi
Mh. Rais inawezekana usiwe muumini wa vyama vingi vya kisiasa, nimesoma muswada wa sheria kuhusu vyama vya siasa and i can confidently say haupendi siasa ya vyama vingi na ungependa uwepo udhibiti, binafsi siamini sana kwenye siasa za mivutano na vyama vinavyoangalia maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi, ni kweli kama taifa masikini nguvu zetu tuziweke kwenye kujenga uchumi na si kila mara kuwa majukwaani. Lakini mh. Hii sheria si nzuri na ina mapungufu makubwa, the worst part is, it is even inconsistent with our constitution. The best approach ni kujenga utaifa na uzalendo, watu waipende nchi yao kuliko " masiasa" yasiyokuwa na tija kwa taifa! Najua kunaweza kuwa na ma puppets ndani ya vyama vya siasa wanaotumiwa kutuvuruga lakini unaweza tumia vyombo vyako kuwadhibiti bila kuja na sheria zitakazofanya tuwekewe vikwanzo kimataifa.

3. Mazingira ya biashara Tanzania

Mh. Hali ya biashara mtaani si nzuri, biashara zimeyumba sana, purchasing power imeshuka sana. Nashauri tu mh uweke mazingira mazuri ya private sector to thrive, kwa juhudi zako zote unazozifanya kujenga uchumi na miundombinu ya kiuchumi hauwezi kufanikiwa bila kukuza na kuweka mazingira ya kukuwa kwa sector binafsi, hii ndio engine ya uchumi wa taifa lolote lile imara, nakuomba sana Rais wangu uweke mazingira rafiki na wafanyabiashara ili mapato ya serikali yawe ya uhakika hata siku za mbeleni. Sector binafsi imeajili watu wengi sana na ikifa machungu ni kwa watu wengi sana. Hamna sababu ya kuwepo hata "perception" kwamba serikali haipendi wafanyabiashara, au kusikia wafanyabiashara wanakimbia nchi.

Ningependa kuongelea mengi lakini naacha na wachangiaji waongezee, lakini kwa ufupi sana kuna masuala ya ajira, elimu, uimalishaji wa taasisi za serikali, elimu ya mtoto wa kike na mimba, yote haya ningependa kuyaongelea lakini wachangiaji nao wataweka nyama.

Sincerely,
Mshauri wa Rais kutoka mtaani.
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,037
2,000
Sidhani kama yule jamaa anapendaga ushauri. Anajua kila kitu yule,
In short yuko kwenye right track.
 
Lukataluko

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,314
2,000
Wewe utakuwa mpiga dili kama sivyo basi utakuwa na mavyeti feki, mm huwa sipangiwa mambo mm ni rahic ninaye jiamini.
 
Ugangaaa

JF-Expert Member
Nov 5, 2017
371
1,000
Mtoa mada upo sahihi. Hakuna mtu asiependa Kujifunza.... Naamini uzi huu washauri rasmi wa MH: RAISI watauchukua nakuangalia wapi waanzie ili taifa lisonge MBELE. Mungu aibariki Afrika,Mungu aibariki tanzania
 
Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,145
2,000
Mbuzi gitaa labda amshauri jinsi ya kuwafunga upinzani atasikilizwa.Huwezi mshauri ajuaye kila kitu
Sidhani kama yule jamaa anapendaga ushauri. Anajua kila kitu yule,
In short yuko kwenye right track.
 
Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,145
2,000
Mtoa mada upo sahihi. Hakuna mtu asiependa Kujifunza.... Naamini uzi huu washauri rasmi wa MH: RAISI watauchukua nakuangalia wapi waanzie ili taifa lisonge MBELE. Mungu aibariki Afrika,Mungu aibariki tanzania
Tabia ni ngozi hata uipake calorite
 
Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,145
2,000
Huwa wanaelewa wakiwa washachelewa,nyerere angemsikiliza kambona asingeboronga uchumi.
Mtoa mada upo sahihi. Hakuna mtu asiependa Kujifunza.... Naamini uzi huu washauri rasmi wa MH: RAISI watauchukua nakuangalia wapi waanzie ili taifa lisonge MBELE. Mungu aibariki Afrika,Mungu aibariki tanzania
 
Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,100
2,000
Shikamoo Rais Wangu Mpendwa,

Nimejipa cheo kisicho rasmi kama mshauri wako na kama mpiga kura wako niliekaa kwa zaidi ya masaa 5 nasubiri kukupigia kura na wajibu na haki ya kukushauri. Kawasifu kangu sio kamaana sana lakini nimepata bahati ya kusoma sayansi ya siasa udsm so i would confidently say naelewa nachotaka kukisema hapa kwa mwanga niliopata kidogo.

1: Siasa na mahusiano ya kimataifa
Mh. Rais nafahamu na naamini bila shaka una dhamira ya dhati kabisa kulipeleka hili taifa mbele, kuliinua kiuchumi lakini mahusiano ya kimataifa yanaweza kukukwamisha. Sisi kama taifa bado ni taifa tegemezi, hatujafikia kujitegemea ni muhimu kujeza na siasa na mahusiano ya kimataifa vizuri. Kwa mfano suala la mashoga, ni kweli kama taifa hatuna sababu ya kuunga mkono ushoga lakini ni muhimu sana kuwa na busara ya kulipuuza. Na hapa na maana ya kutokulipa uzito kitaifa kwa wewe binafsi au wateule wako kuliongelea. Mh. Mashoga wapo na wataendelea kuwepo kwasababu dhambi zipo na haziwezi kuisha mpaka siku Mungu atakapokuja kuihukumu hii dunia, therefore hawa watu " mashoga" watapambana na mola wao wenyewe. Hata ufanye juhudi gani hauwezi ondoa ushoga, utaondolewa na Mungu mwenyewe, wewe pambana kulinda national interests. In other words, you cannot jeopardize national interests over irrelevant issue.
2. Vyama vya siasa na siasa za ndani ya nchi
Mh. Rais inawezekana usiwe muumini wa vyama vingi vya kisiasa, nimesoma muswada wa sheria kuhusu vyama vya siasa and i can confidently say haupendi siasa ya vyama vingi na ungependa uwepo udhibiti, binafsi siamini sana kwenye siasa za mivutano na vyama vinavyoangalia maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi, ni kweli kama taifa masikini nguvu zetu tuziweke kwenye kujenga uchumi na si kila mara kuwa majukwaani. Lakini mh. Hii sheria si nzuri na ina mapungufu makubwa, the worst part is, it is even inconsistent with our constitution. The best approach ni kujenga utaifa na uzalendo, watu waipende nchi yao kuliko " masiasa" yasiyokuwa na tija kwa taifa! Najua kunaweza kuwa na ma puppets ndani ya vyama vya siasa wanaotumiwa kutuvuruga lakini unaweza tumia vyombo vyako kuwadhibiti bila kuja na sheria zitakazofanya tuwekewe vikwanzo kimataifa.

3. Mazingira ya biashara Tanzania

Mh. Hali ya biashara mtaani si nzuri, biashara zimeyumba sana, purchasing power imeshuka sana. Nashauri tu mh uweke mazingira mazuri ya private sector to thrive, kwa juhudi zako zote unazozifanya kujenga uchumi na miundombinu ya kiuchumi hauwezi kufanikiwa bila kukuza na kuweka mazingira ya kukuwa kwa sector binafsi, hii ndio engine ya uchumi wa taifa lolote lile imara, nakuomba sana Rais wangu uweke mazingira rafiki na wafanyabiashara ili mapato ya serikali yawe ya uhakika hata siku za mbeleni. Sector binafsi imeajili watu wengi sana na ikifa machungu ni kwa watu wengi sana. Hamna sababu ya kuwepo hata "perception" kwamba serikali haipendi wafanyabiashara, au kusikia wafanyabiashara wanakimbia nchi.

Ningependa kuongelea mengi lakini naacha na wachangiaji waongezee, lakini kwa ufupi sana kuna masuala ya ajira, elimu, uimalishaji wa taasisi za serikali, elimu ya mtoto wa kike na mimba, yote haya ningependa kuyaongelea lakini wachangiaji nao wataweka nyama.

Sincerely,
Mshauri wa Rais kutoka mtaani.
Tuko kwny right direction!!
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
5,603
2,000
Wanakiburi hawa ni hatari. Wakiwa ikulu wanadhani wanajua kila kitu. Nyerere angekuwa msukivu yasingemkuta.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,634
2,000
..waliouwawa kutiwa vilema, na kuumizwa, ktk utawala huu unatoa ushauri gani?..Taswira ya Tz kimataifa haijawahi kuchafuka kiasi hiki.

..Huko nyuma tuliwahi kuwa na mahusiano mabaya na nchi wahisani, lakini si kwasababu[ukatili] kama hizi za ktk utawala wa Jiwe.

..Umoja wa Kitaifa umeverugika. Chuki imeota mizizi. Ukatili umekuwa ni fahari kwa walioko ktk uongozi. Ubaguzi wa kiitikadi upo waziwazi.

..Kwa maoni yangu kiongozi aliyetufikisha ktk mkwamo huo hana "udhu" wa kulirejesha taifa ktk njia sahihi.

..The best advice you could have given him is to ask him to RESIGN.

CC BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom