Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,637
- 3,351
Kutokana na habari ya K24 news mbunge wa Kenya wa EALA mshahara wake in 1.4 mil KSH
Bado gari na posho zingine. Ndio maana kina Shyrose na ndani ya vyama vyote vya siasa watu wanakimbilia kugombania kwenda EALA.
Hapa tunapata picha kumbe si lazima mbunge awakilishe maslahi ya nchi yake bali anaweza akawasilisha maslahi ya tumbo lake binafsi.
Yupo mke wabunge mmoja huwa anatanua na Range rover jeupe lenye namba za EALA huku mitaani kumbe fedha mnayopipata kule ni ndefu. Shikamoo siasa hazina ukomo ila ajira mwisho miaka 30 kuajiriwa.