Mshangao na swali la prof, issa shivji,, kwa nini serikali ilibinafsisha bima???

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu nyerere bw, profesa issa shivji aliuliza swali kwa serikali huku akishangaa na kujiuliza mara mbili mbili !! ATII NI KWA NINI SERIKALI ILIBINAFSISHA BIMA?? alipokuwa akifundisha masoma yake ya katiba kupitia ITV,, alihoji serikali na watazamaji ni kwa nini seriksli ilibinafsisha bima? kwamba hata kama ni ubinafsishaji umezidi mpaka tumefikia hatua ya kuweka bima rehani kwa wawekezaji ni balaa,, ukizingatia hasara na athari za ubinafsishaji kwa taifa husika,,kiuchumi kijamii na kisiasa alisikitika sana na kuishangaa mno serikali ya tanzania kuwa imezidi,, hata kama ni ubinafsihshaji akaona umevuka mapaka ,, huwezi kuweka rehani bima kimsingi.. kila kitu kina hasara na faida tumebinafsisha bima tumenufaika nini? najua kuna wataalam na wachambuzi mnisaidie ku elewa na kudadavua tulikotoka na bima ilipo sasa na iendelevyo naomba tathimni yako tafadhali kwa mifano halisi,, mwanazuoni wa tanzania na mjumbe wa jamiiforums ,,
 
Back
Top Bottom