Cephas Martin
Member
- Jul 8, 2013
- 9
- 6
Moja ya mambo yanayowashangaza kama siyo kuwatatanisha watanzania wengi tangu utawala huu wa awamu ya tano uingie madarakani ni kasi ya utendaji kazi inayooneshwa na viongoz mbali mbali ndani ya serkar kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya kijiji ,Lakini kinachowashangaza zaid wananch hawa syo utendaji wa kasi wa kazi wa sasa wa viongozi hao ktk serikar hii ya awamu ya tano bali ni kipi kiko nyuma ya viongozi hao ambao baadhi yao walikuwapo hata ktk awamu zlizopita na hawakuonekana kuwajibika zaid ktk kuwahudumia wananchi kama wanavyoshuhudiwa sasa. Ikiwa baadhi ya mambo ambayo viongozi hao wanayakemea kwa sasa ni pamoja na ubadhilifu wa fedha, rushwa, kutowajibika ipasavyo kwa baadhi ya watumishi, mambo haya si mambo mapya Bali yalikuwapo tangu katk awamu zlizopita na wananchi waliyapigia kelele vile vile lakin viongoz hao hata hawakustuka.
##Nchi yangu, Fahari yangu.
@cephasmartin1
##Nchi yangu, Fahari yangu.
@cephasmartin1