Mshangao: Askari wa Kenya wakimbia mvua Rais Samia alipomaliza kuhutubia Bunge

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,191
4,103
Askari wa Kenya wakimbia mvua baaada ya Rais Samia kumaliza kuhutubia bunge. Askari hao walikimbia na kwenda kujificha kwenye baraza la bunge.

Hilo ni tukio la ajabu kwa askari kuogopa kulowana na mvua. Picha ya juu ni askari wakiwa wamejipanga kabla ya mvua na picha ya pili ni baada ya wao kukimbia na eneo kubaki tupu.

1620220401294.png

IMG_20210505_160849_698.jpg
 
Sasa wangesimama tu hapo wanyeshewe ili iweje vile, si hata Mama Samia angewashangaa basi. Acha kuwa na akili finyu na za kingese hivyo. Mh. Samia ashamaliza kuhutubia bunge na alikuwa anaondoka ndipo mvua ikaanza kunyesha, hakuna jambo la kuwafanya kusimama hapo nje tena. Hawako parade ya passing out hapo. Saa ingine ukipost kitu fikiria kwanza, kuna kitu cha kushangaza hapo kweli??? Si wavunja matofali hao, ni police band! 🤣
 
Askari wa Kenya wakimbia mvua baaada ya Rais Samia kumaliza kuhutubia bunge. Askari hao walikimbia na kwenda kujificha kwenye baraza la bunge.

Hilo ni tukio la ajabu kwa askari kuogopa kulowana na mvua. Picha ya juu ni askari wakiwa wamejipanga kabla ya mvua na picha ya pili ni baada ya wao kukimbia na eneo kubaki tupu.

View attachment 1774336
View attachment 1774332
Hawa Askari wa kupiga band ndo unatufungulia mada jameni!? Hao walipiga band na wakamaliza kazi yao ulitaka waendelee kupigia band samaki?

Hawa hapa basi walinyeshewa wakati Kila mtu ameondoka ndo pia hao wakaondoka manake so wajinga
1621193410350.png
 
Back
Top Bottom